Ile siku mliyokuwa mnaingojea ya ‘REUNION’ sasa inawadia na tungependa kuwaona wote siku hiyo.
Hii ni ‘REMINDER’ na tungeomba wote ambao mtaliona tangazo hili muwaambie na wadau wengine ili wote tujumuike kwa pamoja.
Event: Reunion
What: Reunion
Host: WERUWERU GIRLS HIGH SCHOOLS
Start Time: Saturday, August 30 at 11:00am
End Time: Saturday, August 30 at 6:00pm
Where: CINE CLUB
Dress code: Casual White
Contribution: Tshs. 20,000/-
Kwa lolote la ziada tunaomba tuwasiliane kwa barua pepe ifuatayo weruweru08@yahoo.com
DON’T MISS AS ITS GONNA BE A BLAST ….
COME ONE COME ALL!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...