Home
Unlabelled
tangazo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ok, Lakini Dada na shujaa wetu Rose Migiro yeye anaruhusiwa tu!! Kwikwikwii!!
ReplyDeleteFunzo: Tuwe na utamaduni wa kuhakiki maandishi yetu kabla hayajawa bidhaa ya wazi kwa jamii.
Hii kali huu mgahawa utakuwa unamilikiwa na Iran, labda kuna nyuklia zinatengenezwa humo jikoni
ReplyDeleteIna maana hapo Kofi Annan na Asha Migiro marufuku kusogea...
ReplyDeleteKeleuwii! Maimuna everi wea!Tabu ya kupeana kazi kindugu bila kuangalia utaalamu. Ila hiyo ya jikoni kuna nyuklia kali! Kwi kwi kwi
ReplyDeleteHii ni noma, sasa mbona entrance ipo na huo anasema hakuna entrance? It was supposed to read NOT ENTRY TO THE KITCHEN! Au wadau na mimi lugha gongana?
ReplyDeleteHey!!!
ReplyDeleteWabongo nao kujifanya mnajua!! mmh! Afadhali huyo amechapia lugha ya wageni, je wewe unayemsema na kujifanya unajua lugha unaweza kuandika ujumbe mrefu namna hiyo kwa kilugha chako!!! achana na kiswahili.
Mimi nashukuru, kwani ujumbe wa mwandishi uliupata na ukaelewa na ndiyo maana uliweza kuelewa alikosea wapi, lakini kama ungekuwa na busara ungemsaidia pale pale na akaweza kumshawishi kwa nia njema tu ili kubadilisha na ungekuwa umesaidia kiungwana, lakini kwakumuanika kwenye huu ukurasa, binafsi sidhani kuwa umemsaidia bali umeutangazia umma jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo na kwakifupi unapenda sifa tu.
Sisi tulioko Tanzania tunaelewa kiingereza siyo lugha yetu na tunaelewa kukosea lugha ya wenzetu si kitu kigeni na pengine kunakipindi hata lugha zetu wenyewe tunazikosea, sembuse lugha za wenzetu.
Jambo la msingi na la busara, nadhani ungemsaidia huyo aliyekosea na siyo kuwekana kwenye ukurasa huu.
Pole sana kwa kutuonyesha uwezo wako wa kufikiri.
Mdau Mwanafunzi.