mdau kaniletea hii sasa hivi akisema siku si nyingi zijazo huna haja ya kubeba topu-ya-pajani ukienda kula makange pale break point ya mjini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Duuh wachina wanapoelekea simchezo lool

    ReplyDelete
  2. Thats been out for sometime Bro Michuzi. Just be an email subscriber to get that kind of e news.

    ReplyDelete
  3. Na siku sio nyingi tutakuhamisha kutoka kwenye web ambayo wadau munatumia sasa, tutaweleta kwenye new web ambapo machine itakuwa na uwezo wakureason na kukufanyia kazi. inaitwa SEMANTIC WEB... ambayo project yake inasimamiwa na W3C.

    mambo yakishamalizika basi tutaepukana na mtandao wa sasa ambapo ukitafuta kitu through search engines inakulazimu ufanye kazi ya kusoma link after link ndio upate unachokitaka.

    pia itatusaidia katika kuautomate shughuli kadhaa.. ni story ndefu na research kadhaa zinaendelea kwenye hiyo project: I have just participated in semantic web performance tuning aspects kama part ya research.

    G7
    UK

    ReplyDelete
  4. MIONZI JAMANI MIONZI??!!!!!!

    ReplyDelete
  5. SISI HAPA TZ TUKAE TU NA KUSEMA TUTAWAKUTA WAZUNGU UKIULIZA WANAKWAMBIA SASA TUNAMAJUMBA KAMA YA ULAYA NA MAREKANI SIKILIZENI WAZUNGU HATUWAKUTI HATA WAKITUSUBIRI TUENDELEZE SIASA ALIZOTUWAJIA JULIUS KAMBARAGE BURITO NYERERE

    ReplyDelete
  6. We Annoy wa kwanza kabisa. Nani kakwambia kwamba hiyo technologia ni ya wachina? Mbona unajisemea tu mambo? Hiyo technology ilionyeshwa kwenye maonyesho ya kimataifa ya technology huko Geneva na Wajapani sasa ya mchina imetoka wapi?

    ReplyDelete
  7. Kama kunamtu anawaza tutawakuta wazungu nakuwa sawa nadhani sio ndoto mbaya sana but in relity sio rahisi sana. But kiukweli nasi tumekuwa na ndoto nyingi za alinacha kwani main difference kati yetu nikwamba wenzetu wanahistoria kubwa sana. Mataifa yao yamejengwa na kujiongoza kwa karne nyingi sana kiasi kwamba wamejifunza mengi na wamejirudi mara nyingi sana compared nasisi. Karibu barabara, majumba, policies ambazo hawa jamaa wanatumia leo ni product ya vizazi vyao vya zamani sana. kwalugha nyingine nisawa na kuwalinganisha mtoto ambaye kazaliwa akarithi kila kitu toka kwa wazazi na yule ambaye kazaliwa akalelewa na wazazi wa kambo kisha akaibiwa kila alichonacho na pia akafunzwa kumuabudu baba wakambo.

    So kipindi hiki wakati sisi tunawaza ujenzi wa infrastructure, wenzetu wameshapita huko/// but naamini baada ya muda tutafika huko pia.

    I have a dream kwamba tanzania huenda ikawa nchi bora within africa in 40years time kama tutajipanga vizuri kwani naona kama vile wabongo tunapenda home sana and we have our language and we have certain tabias ambazo zinatufanya kuwa happy, am sure tukianza kutumia elimu zetu nakuwa wabunifu we will succeed.

    G7
    UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...