KAKA MICHUZI,
NIMEPATA USHAURI NA POLE NYINGI SANA ZA WATU KUHUSU HUYO NDUGU YANGU ALIYEFUNGWA JELA HUKO NETHERLANDS.
WANATAKA NITOE EMAIL YANGU AMBAYO NI
PIA WAMEOMBA NSEME ANUANI YAKE , MAJINA AKIWA HUKO NI HII HAPA:
FRANK ALPHONCE
Post bus 1055 5200
BC.
Den Bosh
NETHERLANDS
+ 31616847722
Pole sana kwa kaka yako kuweza kusekwa lipangu ndio maisha hayo so mimi sipo HOLLAND nipo nje ya HOLLAND ila usijali nitakusaidia kwa upande fulani alafu nikijua nini kinaendelea nitakujulisha kwa kupitia email yako ambayo umetowa usijali....Pia nimejaribu kupiga namba yake nimepiga mara ya kwanza nimepiga imeita tu haijapokelewa mara ya pili nimepiga wamekata lakini usijali nitakupa full update ni vizuri ulivyosema hapa wengine tusingejua kinachondelea so me nitajaribu kuwa contact and then nitakujulisha.....pole sana
ReplyDelete