Kwanza kabisa nakutakia Happy birthday mkuu wa nanihii,

pili mimi ni mkazi wa hapa washington, d.c nilikuwa nawatangazia wakazi wa dc na suburbs zake kuwa nina ticket za game ya wnba kati ya washington mystics v Chicago sky ambayo iko kesho ijumaa game ambayo mhe.

JK atakuwa ndani ya nyumba hapo Verizon center, seat ziko nyuma ya watangazaji (Floor seat).

Kama kuna mtu angependa kununua awasiliane na mi kwa machimu3@gmail.com

au text

@ 301 787-5390

ama piga simu

(240) 582 - 0057.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MBONA HAUJAANDIKA JINA LAKO....WEWE NI TAPELI NINI?

    ReplyDelete
  2. WALE WALE WATU WA DC MATAPELI TAPELI MKICHORWA UTAMU MNALALAMIKA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...