Biashara na Ajira mtandaooniNdugu watanzania wenzangu vijana kwa wazee, mlioajiriwa na mnaofikiria kujiajiri, part-time ama full-time, ninayofuraha kuwafahamisha habari ya ajira na biashara mtandaoni.
Unachotakiwa kufanya ni ku sign-up
zoezi hilo fupi ni mkataba kamili wa ajira

Ukweli na undani kuhusu biashara hii Kampuni ya Carsons Services,Inc ins duka mtandaoni(Veriuni Stores) ambapo wanatumia online network marketing kupromote bidhaa zao ambapo wao hawa-advertise bidhaa zao moja kwa moja bali kazi hii wanaiacha kwa jamiiUnapo sign-up
www.cashinjectionstratergy.com
tayari unakuwa umejiajiri kama online sales representative(affiliate) wa SFI Marketing Group shughuli inakuwa ni kupromote bidhaa mtandaoni kwanjia tofautitofauti ambazo nyingi utajifunza kwa kusoma kupitia site yao.
Katika utaratibu huo inapotokea bidhaa uliyopromote ikanunuliwa unapata camission 30%-80% ya bidhaa itakayonunuliwaMantiki ni kwamba commission unayoipata ndicho kiasi ambacho wangekitumia kupromote biashara lakini badala yake hiyo kazi unaifanya wewe na kupata hizo fedha
Faida za ajira/biashara hii
Huhitaji kuzunguka(machinga) kama biashara nyingine za promosheni hapa mambo yote yanaishia mtandaoni
Hakuna kubahatisha mana soko la bidhaa ni ulimwengu mzima(world-wide customer-base)lenye utajiri wa wateja wenye hulka za kila aina(diversity)Huhitaji kutengeneza matangazo kwani mengi yameshatengenezwa kazi inakuwa kuya distribute kwenye site mbalimbali (online classified)
Huhitaji kutengeneza website kwani mara unapo sign-up tovuti yao inakupa account ambayo inakuwezesha kumanage mapato na mauzo yako yote mambo yote(mengi utajifunza taratibu kwa kusoma kwenye hiyo site)

Jinsi ya kupata mapato yako
Njia rahisi SFI Marketing Group wanayoitumia wa kulipa affiliates wao ni debit card (bank card) Pindi affiliate anapofikisha mauzo ya US$20 basi anatumiwa kadi hiyo,kadi hii inaweza kutumika katika ATM system nyingi hapa nchini na popote pale dunianiPia zipo njia nyingine kama cheque, ni chaguo la affiate mwenyewe

DokezoWengi wanakata tamaa mapema kwa kukosa subira kutaka kujua mambo yote kwa siku moja,kuepuka hilo soma/fuatilia maelezo kwa taratibu uyaelewe

Kwa msaada zaidiWasiliana na bw.Tonny Namata kupitia
va@thecashaccount.co.uk
huyu bwana ndo alileta hili wazo huku tanzania, ana uelewa mpana wa hii biashara, mwepesi kutoa msaada mengi utayapata kwake kutokana na uzoefu na exposure aliyonayo
Wasiliana na mimi
Martin Elisante
kupitia
m_elisante@yahoo.com
Sasa hakutakuwa na anayesema hajui kufanya biashara wala atakaye lia njaa wala mwenye juhudi za kusaka chapaa akazikosa.www.freewebs.com/ajiramtandaoni.comIts up to you!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. changa la macho!!!!!!!mafisadi everywhere.

    ReplyDelete
  2. Ooops!This link appears broken!

    ReplyDelete
  3. BE SERIOUS MAN...MBONA SITE YENYEWE HAIFUNGUKI??????????????

    ReplyDelete
  4. Ukiona kuwa link haifunguki basi ujue ndio Mungu anataka kukulinda na dili feki kama hizi. Usihangaike kuifungua. Wapemba wanasema "riziki haiwanwa".
    Kazi kwako.

    ReplyDelete
  5. UNCLE MICHUZI, EBU ITOE HII KITU, HUYU JAMAA ANATUYEYUSHA, SITE GANI HATA HAIFUNGUKI. HALAFU ANATEGEMEA KUPATA WATEJA.

    ReplyDelete
  6. UPATU UPATU HUU JAMANI ACHANENI NAO!!!!MAFISADI MPAKA KWENYE BLOG YA MICHUZI!!MICHUZI MAMBO GANI HAYA UNAWEKA KWENYE BLOG YAKO?

    ReplyDelete
  7. Kosa analo yeye ama Michuzi aliyeipost? Yani Michuzi amepewa kitu anapachika tu bila hata kuhakiki? ni makos aya kibinadamu angeona broken link asingeileta hapa, la sivyo kwa sisi wataalamu wa computer tunajua ni makosa ya copy n paste ambalo herufi moja huua link nzima, pole Michuzi mwambie jamaa akutumie tena tunaiskilizia, wa hapo juu wanaponda sana ila ndio bongo, kila anayetaka kutoka watu wanamrudisha, mfano wako wa SENENE ndio naupenda kuliko post yoyote uliyowahi kuweka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...