





Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu Kinyaiya naye vipi na vipini hivyo? Kwa mila za Bongo wanaume rijali hatuweki piercings bwana
ReplyDeleteIt's lovely and beautiful. This means a lot about the mentality of the Tanzanians and the country as a whole. Not many countries in the world today would its citizens be proud of their country, like in West Africa where young men die everyday trying to stowaway in ragged ferries to Spain and EU.Big Up!
ReplyDeleteWatanzania ni watu wazuri sana Duniani, kimaumbile na "wisdom" yao. Ila wana kasoro moja kubwa sanaaaa, ambayo inaboa. Nayo ni: KUIGA. Wakiiga, wanawapita hata wale walioanzisha kile kitu kiigwacho. Jamaa hapo juu, ni handsome, ila pini kwenye mdomo....ahh come on. Does he really know the reason why people/women put pins on the lower mouth?
ReplyDeletemh nhiyooooooo angekua mtu ametoboa mdomo hivyo yuko majuu watu wangemsema kama nini....sasa huyu kulikoni?
ReplyDeleteSiamini kijana mzuri hivi katoboa na kuweka sijui hereni chini ya mdomo wake kama thugs.
Hiyo imetulia. Mnamsema kijana wa watu bure muacheni ajirembe apendavyo. Mbona msiwaseme wanao oana wanaume kwa wanaume? Big-Up kinyaiya.
ReplyDeleteacheni kulialia ktk vitu vidogo.mambo ya kutoboa masikio/pua/mdomo vilianzia kwetu Waafrika ingawa zamani walikuwa wakitumia vijiti na kadhalika.hao wa huko Magharibi waliiga tu na pia kuporesha kwa kutumia jewels.makabira chungu mzima back in the days walikuwa na desturi za kutoboa masikio si kwa wanaume wala wanawake.again, vitu hivyo vimeanzishwa na Africans na hao wenzetu waliiga tu na kuboresha kwa kutumia gold/diamond na kadhalika...punguzeni kulialia bila msingi....
ReplyDeleteJamani Kinyaiya ni mrembo sana! anajipenda sana, uacheni apendeze, asipopendeza sasa mnataka apendeze akishakufa? nyie lawakereketa nini? ananivutia kijana huyu!
ReplyDeleteNi kweli jamani kijana rijali hawezi kuweka vipini kuvaa herini mnh bdo kuvaa gauni tu
ReplyDeletewe Uyoga kasome historia yako vizuri. Katika makabila ya kiafrika wanaume walikuwa hawatogi pua na midomo. Kwenye baadhi ya makabila masikio labda, ila nao ni wachache. Hata kwa wamakonde wanawake pekee ndio walikuwa wanaweka ndonya; wanaume walikuwa hawaweki.
ReplyDeleteNa kwa yale makabila yaliyokuwa yanaruhusu wanaume kutoboa masikio, midomo, n.k. staili zao ilikuwa tofauti na hii na nia yake ilikuwa kuleta taswira ya kijasiri; ya kikakamavu an kishujaa. Kuwa na wanajeshi (warriors) ambao ukiwaona wanawatishia maadui. Sio unaweza vipini vinakufanya uonekane demu.
Anyway, hili sio suala la Ulaya au Uafrika. kama ni suala la uafrika, unataka kuniambia katika kabila lake huyu Kinyaiya ndio wanatoga mdomo na kuvaa vipini hivi?
Na nyie mnaosema tumwache kama alivyo. Ofcourse ni uhuru wake and there is niothing we can do even if we wanted to. Ila we r just commenting and querying, we r entitled to that, for as long as one has not outright gone to defame the other person's character.
Ila kila jamii ina utaratibu wake, utamaduni wake na mazoea. Kwa vitu ambavyo sio mazoea ya kwetu lazima tuulize. Maana kuna jamii wanaruhusu hata cross-dressing; na transsexualism (transgenderism). Haya basi si uhuru wako, fanya hivyo Bongo uone.