katika sehemu ya vip toka shoto ni bosi wa nssf dk. ramadhani dau, kamanda wa kanda maalumu ya kipolisi ya dar afande selemani kova, rais wa tff sir leodegar tenga, mkuu wa wilaya ya ilala mh. patrick tsere na maofisa wa ubalozi wa ghana nchini
benchi la taifa stars
benchi la black stars ya ghana. naam... hujakosea. wa pili kulia ni micho aliyekuwa kocha wa yanga sasa ni msaidizi wa kocha wa ghana



Huo ndio uwanja mpya?mbona naona kama hao wa taifa star wamekalia mamchanga ndio itakavyokua hivyo, bado uko matengezoni au ndio wameshakabidhiwa liuwanja hivyo?Mbona zikinyesha mvua za Dar huo mchanga utakua patashika nguo kuchanika?
ReplyDeleteWachina mbona bed nest lqo wamejenga la kukomesha?