Ben Waziri(kushoto) na Mohamed Abdulrahman wakisubiri maiti ya mtangazaji wa zamani wa DW Wajih Shekh aliyefariki jumatano usiku mjini Cologne,Ujerumani.Mwili umesafirishwa Jumamosi kuelekea Tanzania. Marehemu atazikwa Zanzibar.
Waombolezaji wakimuaga mwenzao Hayati Wajihi Sheikh. Toka shoto ni Jean Francois Gisimba (Mtangazaji wa zaman wa DW) Mohamed Dahman, Ramadhan Ali, Ben Wazir ,Othman Miraji na Mohamed AbdulRahman.
waombolezaji wakiwa msikiti wa aboubacar mjini cologne kumsalia marehemu wajihi sheikh (picha na wasifu wake hapo posti ya chini)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...