LILE TUKIO LA KILA MWEZI LIMEWADIA TENA
NA
SAFARI HII WAPI ZANZIBAR ITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 23 AGOSTI....
Mada ya mwezi huu ni VIJANA NA MAZINGIRA,
na hii inatokana na uungaji mkono wa maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani 8/08/2008
MUNTU KUTOKA IDARA YA MAZINGIRA ATAWAKILISHA MADA KUHUSU MAZINGIRA, NA BAADA YA HAPO HADHIRA ITASHIRIKI KATIKA KUCHANGIA MAONI NA KUTOA USHAURI.
SHINDANO LA KUMTAFUTA MSANII BORA WA JUKWAANI LITAFANYIKA NA MSHINDI ATAZAWADIWA NAFASI YA KUREKODI WIMBO MMOJA. SHINDANO LINGINE LITAKUWA NA KWA SANAA YA UCHORAJI AMBAPO ZAWADI ZITATOLEWA KWA WASHINDI WATATU.
Burudani itatolewa na Black Roots band, Matona & G Clef, Jambo Acrobats, Zero Kasorobo na Juma 20.
YOTE HAYA NI KATIKA UKUMBI WA NGOME KONGWE
KUANZIA SAA 9 ALASIRI HADI SAA MBILI USIKU.
KARIBUNI WOOOOOOOTE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...