Home
Unlabelled
will smith in the land of kilimanjaro, serengeti, zanzibar and konyagi..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya ni wakati mwingine tena ambao TTB wanaweza kuutumia vizuri kwa huyu bwana WILL ili awe balozi wao atakaporudi kwao .
ReplyDeleteWao wanajua zaidi kuliko mimi ninavyotoa maoni hapa.
Huyu bwana amenunua sehemu ya ardhi kwenye peninsula moja hapo MOZAMBIQUE ili tu awe karibu na mzee MANDELA.
Mdau JAPAN .
oh oh oh so lady JD katafutwa na will na jawabu ilorudi ni kuwa yuko bizi anarikodi! oh yes! tena smith anabembeleza kuwa jd aarifiwe kuwa mr smith anamtafuta na afanye amuone kabla ya kuondoka! well labda naishi ulimwengu mwengine, lakini story hii ni vigumu kuamini. Nani katika maisha yake atafutwe na superstar kama willie na aseme hawezi kumuona kwa sababu yuko studio halafu tena mr smith abembeleze! i have got nothing against jd na sisemi kama will hamjui jd, ninachosema ni kuwa story haiko sawa. Naamini kama jd alisikia smith anamtafuta angelitupa kila kitu kwenda kumuona!
ReplyDeleteSimply because it is so cheap and safe especially for AMERICANS, where with few bucks you can buy the world, I think you know what am saying. I wish them to get a fantastic President in their forthicoming generel election whom will get job done just not only for the America, but also for the entire world, as since time in memorial the American approval rate is very far deep in the trench, we need the president who will uplift the world that is why this general election is a stake, a stake of the good of the world in all round.
ReplyDeleteHi Bros Michuzi, Asante kwa kutuletea picha kama hizi za celebrities. lakini ninaomba muwape hawa jamaa nafasi yao maana wamekuja huko bongo kupumzika na pia kustarehe annual leave zao kwa watu kufuatafuta hitafanya hata celebrities wengine wasije na pia wawe wapewa udumu mzuri maana ndio wanalete fedha nchini kwetu na pia wanatangazia nchini kwa sababu balozi zetu ndio wapo holiday. katika picha utaona wife wa W. Smith (Jada Pinkett)amewacha mdomo wazi kwa ajili ya gari lenyewe , kwa tuwape udumu mzuri ili Dola zije bongo na piwa wakirudi watangazia bongo yetu .Plz watu kama hawa celebrities wangeweza kutusaidi kwa kuja bongo kufilm hata movie moja ua mbili ili tuweja kuvuta wawekezaji wengi kwenye industy hii.
ReplyDeleteWhy does Tanzania blow all these nice chances to promote themselves.
ReplyDeleteThis is the time they can get some pretty good worldwide recognition @ least even within the celebrity circles that opt to come over to Tz.
Mwaka huu peke yake ya'll have had 50 Cent & G-Unit, Shaggy, K-Ci & Jojo, John Legend, Kelly Rowland, Collie Buddz and the list goes on and on.
Use this to your advantage. Everybody knows the world is quite unsafe nowdays. So imagine having all these celebrities grace Bongo coz they see it as a safe haven or getaway resort.
My 0.2 cents.
Jamani,
ReplyDeleteMnaona watu wenyepesa walivyo simple?. Jamaa kavaa fulana tu tena haina hata chata yeyote. Kuna wakati siku za nyuma mdau fulani wa nguvu sana japo hana jina kubwa alikwenda bongo akiwa amevaa simple sana. Watu wali chonga vibaya vibaya. Haya muoneni Will Smith allivyo simple. Kama asinge julikana watu wangesema anapiga box la kichovu.
hahaha...even though amevaa tshirt ambayo haina "chata" inayoonekana wazi, don't think dat he is wearing just any ordinary 'simple' white tee...no no no...best believe what he is wearin is quality..wenye pesa zao hawana haja na hizo tshirt zenye chata kuuubwa ukispend sana ni dola 200...wao ni zaidi ya hapo
ReplyDeleteHuyu anon wa August 28, 2008 7:04 PM kaniacha hoi. Wewe wadhani hiyo ni simple na cheap. Kaulize bei hapo uambiwe. Kha! Hawa wanaenda maduka unayoweka appointment kwenda kufanya shopping sio watu mnaingia ingia ovyo...wadhani mchezo hapo. T shirt lina-appear simple kwa mtu asiyejua quality yake. Nenda LA ukacheki.
ReplyDeletePili anon wa August 28, 2008 4:38 PM, sikubaliani na maoni yako. Hawa ni celebrities. Walivyoyataka haya maisha walijua wachaguacho. Kupigwa picha ni sehemu ya maisha yao. Kama wanataka privacy...watatumia hela zao kupata. But paparazzi comes with the job.
mi nakubaliana na mdau wa 7:04, na naona mdau wa 2;56 na 6:07 hamkumuelewa. Jamaa kasema kuwa Will kavaa fulana simple; hajasema cheap. Ofcourse we know kuwa even this seemingly simple Tee must have probably cost a fortune.
ReplyDeleteWhat mdau wa 7:04 is saying ni kuwa kuvaa kitu quality sio lazima kiwe na machata milioni, au sio lazima kionekaneje sijui. Unaweza kuvaa simple tu na ukawa umevaa elegant na kitu quality cha bei mbaya. Na anaonyesha mano kuwa Will hapo juu kavaa like that. Ila mbongo mwenzetu alivyovaa like that watu tukachonga kuwa kavaa kimasikini.
This is really sad, maana tukiona mdongo mwenzetu tunamdharau na tunataka sijui avaeje ndio tumkubali. Simaanishi kuwa huyo mbongo aliyevaa simple basi kuwa yuko level moja na Will. Ila inawezekana kabisa whatever he wore cost a lot more than what people assumed it did, ila hatupendani na tunadharauliana.
Anyways, kwa maoni yangu binafsi, hata kama mtu umevaa cheap let's say. So what? Inakubadili nini kama binadamu? For as long as umeridhika na quality iliyopo ktk hiyo product? Kitu kuwa high quality sio lazima kicost a gazillion dollars. Vanity inatuumiza sana binadamu. Mpaka kiwe cha gharama ndio ukipende.
Destruction of the poor, is poverty; Destruction of the soul, is vanity
Ndugu Mtatifikolo hapo juu umessema na ninakubaliana na wewe mia kwa mia. Wabongo ndio maana masikini. Wanajikweza tu na vitu vya bei mbaya. Utakuta mtu anakopa ili mradi tu avae nguo sijui inaitwa "GAP" sijui "Sean John". Wakitoka huko waliko majuu hata kama wanalala njaa watajisheua wakapige picha na kaka yetu Michuzi wakiwa wamevaa chata za sijui "Ecco". Saa nyingine hata pesa ya kula ni manati lakini anataka "image". Ndio maana mimi ninamuheshimu sana kaka yetu Misupu. Yeye anapiga fulana tu, tena haina jina - no chata wala nini. Anajiamini toka moyoni, sio vidude vya kuninginiza wengine wanavipata kule kunaitwa "salvation army". Kwa maoni yangu ni kwamba wabongo tunatawaliwa na mawazo dhaifu na ya kimasikini. Ni kama vile eti mtu akiwa na kitambi andio ana pesa... Jamani kitambi ungonjwa... Tuamke. Kuvaa nguo "simple" ni kawaida tuzivae pia. Tuache kujikweza. Mambo haya ya kujikweza ndio yanasababisha zogo la EPA, watu wanataka waonekane wana maisha ya juu hadi wanaiba pesa wasizo staili kuwa nazo.... Na hivyo kuendeleza umasikini kwani kazi ile ambayo ingefanywa na hizo pesa sasa haifanyiki. Kinachohitajika ni ukombozi wa kimawazo
ReplyDelete