siku za ndugu zetu wa jeshi la polisi kuishi kwenye nyumba za full suti (bati juu hadi chini) zinahesabika kwani majengo yao ya kisasa yanayojengwa na NSSF barabara ya kilwa rodi dar yanakaribia kumalizika. mambo ndo kama mnavyoona pichani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hata wakiwekewa marumaru mpaka chumbani mapolisi sio wastaarabu wengi wao wachafu we angali aple msimbasi polisi kulivyo kuchafu au kama hupajua angalia pale Ostabei polisi yani wachafu ile mbaya.Haya kazi kwenu

    ReplyDelete
  2. Tatizo hawa jamaa ni wachafu mno, ingekuwa vyema wawe wanakaguliwa usafi kila jumamosi kama boarding school kama kwako kuchafu pushups 50 wanakera sana.

    ReplyDelete
  3. kama tulikua pamoja!!
    uchafu awa jamaa A+

    ReplyDelete
  4. ni ukweli kuwa polisi ni wachafu lakini pia uongozi unajisahau sana kuzikarabati hizo nyumba jamani, yaani mpaka zinakuwa na nyufa utafikiri magofu? lakini langu la leo ni hili, hivi hizo nyumba kweli zitatolewa kwa polisi wa ngazi za chini au ni wakubwa wenyewe watafaidi, michuzi usibane ujumbe wangu.

    ReplyDelete
  5. ..tena wamewapakia rangi nyeupe ndiyo tabu zaidi,polisi ni wachafu hawana mfano.

    ReplyDelete
  6. wadau mnawashambulia mapolisi mbona mmanishangaza,polisi si wanashinda wanawalindeni nyie raia, semeni hivi WAKE ZA MAPOLISI ndo wana hiyo kasoro, kama ndo kila anayeolewa maeneo hayo anakuta wenzie wamejiachia, nayeye anajiachia,sijui,,kama wanakuta waume zao nyumba hawatunzi vyema, sijui ila kwa ufupi,kwa mila na desturi za kibongo,tunasema, wake za mapolisi ndio wakuwalaumu walitakiwa wachukue jukumu la kuweka mazingira katika hali ya usafi.
    KWELI,hizi nyumba watapenda mapolisi wa juu,juu tu wenzangu namie ma koporo hawapati hizi.

    ReplyDelete
  7. MAPOLISI WACHAFU KA WAHINDI BWANA LOH!MANA UKU TUNAKOMA WAHINDI WALIVOWACHAFU NA USTARABU HAWANA KABISA

    ReplyDelete
  8. Polisi wa kulala nyumba nzuri wako Dar tu au ni mradi wa nchi nzima?Kama ni mradi wa nchi nzima hasa wilayani kule basi naipongeza serikali kwa hilo.Kama zinajengwa Daresalaam tu naipa serikali 21%.Huko mikoani polisi wanalala nyumba mbaya,chakavu pia.

    ReplyDelete
  9. Jamani mmesahau maendeleo uanzia mjini kwenda vijijini,hata mitandao ilivoingia ilianzia mjini na sasa iko hadi vijijini.Kwahiyo wadau tuwe na subira kidogo.
    Ahsanteni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...