

Mada iliyozungumziwa ni Vianzo vya Rasilimali Fedha kwa Ajili ya Mahitaji ya Mitaji ya Muda Mrefu Nchini Tanzania (au 'Mobilizing Financial Resources for Finacing Long Term Capital Requirements in Tanzania' kwa kikerewe).
Dr. Adiel Abayo alishirikiana na Mohamed Nyasama katika kuzungumzia mada hiyo. Mada hiyo huhudhuriwa na watu makini wenye nia njema ya kujipanua kimawazo. Na baada ya mada na kipindi cha masawli na majibu wahudhuriaji wote hupata fursa ya kuburudika na Chaguo Makini, yaani Ndovu Special Malt; Chaguo Makini ni mdhamini mwenza pamoja na kampuni ambayo mkuu wa wilaya ya nanihii ni balozi wake, yaani Zain, wa Management Forum (au 'Baraza la Utawala/Uongozi' kwa kinanhii).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...