Mambo vipi Michuzi,Nilitaka tuu kukuinform kwamba msuluhishi wa Umoja wa Mataifa wa Mgogoro wa Darfur Mhe. Dr. Salim Ahmed Salim atakuwa the key speaker kwenye 2008 Global Peace Leadership Summit.
Tafadhali weka kwenye blog yetu ya jamii ili yeyote atakayeweza kuhudhuria asikose. Na website ndo hiyo hapo:
Pia kwa Watanzania wote wa hapa Los Angeles tunaajiaanda kukutana nae tarehe 24 Sept saa 7pm kuangalia uwezekano wa kuwa na another Tanzanian Embassy in the West coast. na pia mambo mengine ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
peace, na Mfungo mwema!!
Mdau Mike


you have done nothing at your time you cant do something now neither in a near or far futere. pls stay home we will present you there. i hope you will obey our mandatory order
ReplyDeleteAsiyeona aliyofanya Salim basi huyo kama hatakumbukumbu zake zimepotea kichwani, lakini pia ana utindia ubongo.
ReplyDeleteTumaini is that message to dr salim? If yes, then u don't know what your talking about and instead of him to stay at home, I think u should backoff.
ReplyDeleteThe guy got respect worldwide and that's why they have choose him to be on that position.
As usual we tanzanians love to act like fools all the time.
Na mdau uliopost safi sana kuwataarifu watu sema ombi lako la ubalozi wa tanzania west coast nalikataa.nalikataa kwa vile hela za walipa kodi zitafujika sana kwani gharama za kuendesha ubalozi ni kubwa sana na nchi yetu bado nichanga kuwa na balozi kila kona kwenye nchi moja.ni rahisi kwanyie mliokuwa west coast kutuma maombi yenu au kuja kutatua shida zenu ambazo zinahitaji msaada wa balozi washington d.c kuliko serikali kufungua balozi nyingine huko.
Tumaini anamjuwa SALIM, au anacheza tu, the guy is intellegent an internationa political guru, na amefanya mengi kwa sisi wa siku nyingi kidogo huyu bwana alikuwa mwafrika wa kwanza kuwa KATIBU MKUU WA UN kosa VETO ya U.S.A tu ambayo ndiyo ilimnyang'a nafasi hiyo na wala hakukuwa na sababu ya msingi zaidi ya U.S.A. wakati huo kuichukia Tanzania kwa vile ilikuwa inafuata siasa ya ujamaa na ilikuwa rafiki mkubwa wa RUSSIA na CHINA na a leading voice for poor people around the world as well as a leading country by then to fight for independence of all African country under colonial powers by then chini ya NYERERE ambaye haogopi kusema ukweli mahali popote duniani hizo ndo sababu zilizomkosesha UKATIBU MKUU wa UN wakati huo Tanzania ilikuwa inaheshimika duniani.
ReplyDeleteTatatizo langu kubwa juu ya mzee kupumzika kwa shida alizokutanana nazo za wafadhili mbuzi hao hao wanachochea machafuko bara la afrika hao hao wanaahidi kutoa msaada inakuwa hewa mzee wetu Salim anapata shida. sasa sisi kama vijana tunataka kumfunga huyo ka msanii kengele
ReplyDeleteTumaini tatizo lako ulilolisema hapo chini haliendani na comment yako ya kwanza hapo juu, tatizo la wafadhili mbuzi ni la siku nyingi na linatokana na mambo mengi yakiwemo ya ki-historia, ki-uchumi and foreign policies za great nations kama zile za USA, UK, RUSSIA, CHINA, FRANCE, GERMANY na kama za aina hiyo. Nchi kwa sasa zinazoendeleza shida za DARFUR ni CHINA na RUSSIA, China ndo mfadhili mkubwa wa SUDAN in return CHINA inanunuwa natural resources zote za SUDAN kwa bei mbuzi hii ikiwemo na OIL ambayo China inahitaji oil kwa wingi wakati huu kuliko wakati wowote katika history ya China kwa sababu ya maendeleo ya speed ya mwanga China imeyafikia, so that is among economic reasons which exacerbate our global conflicts, lingine China inataka kuonyesha nao ni super power duniani imekuwa itia VETO kwenye baraza la Umoja wa Mataifa any issue kuhusu DARFUR ili kushindana na nchi za West ili kuonyesha kuwa nae ni mwamba na kulinda maslahi yake hii ni foreign policy side of it, na Russia anafanya hivyo hivyo kwa vile Sudan ni soko lake kubwa la kuuza vifaa vyake vya kijeshi, even China wanauza vifaa vya kijeshi Sudan. Matatizo mengine ya Africa ya kama DRC, RWANDA, BURUNDI, ANGOLA na nchi zingine yanatokana na sababu za kiuchumi, nchi nyingi za west hufadhili matatizo hayo kwa ajili ya kupata mali ghafi toka nchi hizo kwa bei nafuu na guaranteed ili kukuza uchumi wao, ANGOLA OIL KIBAO, DRC, MINERALS KIBAO. Wakati umefika sisi wenyewe wa-Africa kutambua hilo na kuweka nyumba zetu in good order, utajiri wa dunia kama utatumika vizuri, unatosha kwa kila mtu duniani kuishi maisha mazuri tu ya kawaida, ila kwa sababu ya ubinafsi watu wachache wanakumbatia na kulimbikiza utajiri wote peke yao. Nilikuwa na soma report fulani za economics, nikafika mahali panasema utajiri wa GATWICK Airport ya LONDON tu peke yake ni sawa na nchi tatu za Africa kwa mwaka, wakatoa mfano nchi hizo kama TANZANIA, ZAMBIA NA MOZAMBIQUE ZOTE KWA PAMOJA INCOME YAO YA MWAKA NI SAWA NA GATWICK AIPORT PEKEE, na abiria wanaopitia katika airport hiyo ni sawa na idadi ya watanzania wote, ina maana watanzania wote kwa mwaka wapande ndege na kupita Gatwick Airport (passengers per year ni 34,000,000.00, HEATHROW AIRPORT NI 64,000,000.00 PER YEAR) HIVYO UTAJIRI WA DUNIA UNATOSHA KWA KILA MTU ALIYE DUNIANI KUISHI MAISHA MAZURI YA KAWAIDA KAMA UTAGAWIWA SAWASAWA.
ReplyDeletewewe ndio unafaa kwenda wenye huo mkutano sali alianza kazi za kimataifa na miaka 18 amekuwa akicheka na wazungu tuu kwa kupigiwa makofi. nitumie email yako
ReplyDelete