

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I don't know about you guys, lakini mimi nachukia sana watu wanavyovaa hizo nusu suti na vifua viko nje. He needs an undershirt.
ReplyDeleteAhhhh sheikh Maulid, kivaziisss mzee, my wifus wako namna gani? Kifua nje wakati sio baunsa
ReplyDeleteKitenge kweli umri unaenda ndugu yangu...unakumbuka enzi zile mnazi mmoja pr school....sasa ivi mtu mzima mwendo wa kaunda suti, kabla ya kukushtukia nilidhani fisadi flani kumbe mpiganaji..teheheheeee, nakutakai swaumu njema sheikh
ReplyDeleteKitenge kwa minuso ya wakubwa nakuvulia kofia. mara harusi ya mtoto wa naniliu upo, mara leo futari kwa balozi, mmh! ndugu yangu punguza. Halafu una wanawake wawili, lakini hata siku moja sijakuona kwenye minuso hiyo ukiwa nao hao my wives wako!!! Teh,teh, hehe heeeeee! Jooob true true!!
ReplyDeletekwanza hajafunga,,,kidini hutakiwi kuonyesha maungo yako wazi ivo,,afu wote ulikula nao pozi wamejisitiri vizuriii
ReplyDeleteuku ni kutamanisha watu,afu unatokaje nje ya house ujiangalii ktk kioo??wee Kitenge,
suala sio mke ata yeye waenda futuru ivo tena sehem ya hadhi ubalozini fua liko nje??
afu wavokata matonge duh,,nahisi wee nanihino,,au ulizamia or kwa niaba ya mtu nini??teh teh teh
usirudie tena
hiyo kaunda suti inahitaji undershirt. hivyo alivyovaa ni kana kwamba na yeye anataka kuonyesha "cleavage" manaake kifua chenyewe hana.
ReplyDeletewee KITENGE/KHANGA HEBU PITIA PALE KWENYE SAGULA SAGULA UTAFUTE FULANAZZ YA NDANI, USITUONYESHE HICHO KIFUA CHA PANZI...
ReplyDeleteWaswahili walisema "pilipili usoila yakwashiani?" We mtu ajistiri vizuri kashakuudhi kwani kakwambia wee uivae. Unaweza ukawachagulia cha kuvaa walio chini ya himaya yako tuu.
ReplyDeleteNakubaliana na mdau wa kwanza. Anahitaji at least a tshirt inside. Ukichukulia na hali ya hewa Dar ni lazima hiyo top itakuwa inanukia kikwapa. Nadhani tonge lilimchanganya.
ReplyDeleteMKUTANO ULIOANDALIWA NA WAJERUMANI UKUMBI WA KOREA NGUMI ZILIZUKA, KWANINI MAKAFIR, KWANINI MAKAFIR. FUTARI YA MUINGEREZA IMENOGA HAKUNA KAFIR TENA. HABARI NDIYO HIYO.
ReplyDeleteBADO WAPO, HUENDA NA WEWE UMO
ReplyDeletewe 7:11PM ulionekana ukumbi wa korea ukirusha kiti, sasa iweje tena ukahudhuria hiyo futari? njaa huleta utumwa.
ReplyDeletekuna ujumbe uliwekwa hapa kuhusu watu kuwafuturisha vigogo badala ya walala hoi lakini michuzi hukuuweka inaonekana na wewe ulikugusa kwani uko kwenye hilo kundi la wanafiki
ReplyDelete