mh. balozi wa UK nchini (aliyezibwa na mwenye kanzu na kibandiko) na wageni wake kwenye futari aliyowaandalia jumatatu nyumbani kwake ostabei, dar
mtangazaji wa itv na radio one maulidi baraka wa kitenge akila pozi na kamanda wa polisi wa mkoa wa dar afande selemani kova
inspekta jenerali wa polisi afande saidi Mwema akiwa na Maulid Kitenge pamoja na meneja mauzo kitengo wateja wadogo na wakati kampuni ya simu ya Zain Selemani Zedi mara baada ya futari nyumbani kwa Balozi wa UK.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. I don't know about you guys, lakini mimi nachukia sana watu wanavyovaa hizo nusu suti na vifua viko nje. He needs an undershirt.

    ReplyDelete
  2. Ahhhh sheikh Maulid, kivaziisss mzee, my wifus wako namna gani? Kifua nje wakati sio baunsa

    ReplyDelete
  3. Kitenge kweli umri unaenda ndugu yangu...unakumbuka enzi zile mnazi mmoja pr school....sasa ivi mtu mzima mwendo wa kaunda suti, kabla ya kukushtukia nilidhani fisadi flani kumbe mpiganaji..teheheheeee, nakutakai swaumu njema sheikh

    ReplyDelete
  4. Kitenge kwa minuso ya wakubwa nakuvulia kofia. mara harusi ya mtoto wa naniliu upo, mara leo futari kwa balozi, mmh! ndugu yangu punguza. Halafu una wanawake wawili, lakini hata siku moja sijakuona kwenye minuso hiyo ukiwa nao hao my wives wako!!! Teh,teh, hehe heeeeee! Jooob true true!!

    ReplyDelete
  5. kwanza hajafunga,,,kidini hutakiwi kuonyesha maungo yako wazi ivo,,afu wote ulikula nao pozi wamejisitiri vizuriii
    uku ni kutamanisha watu,afu unatokaje nje ya house ujiangalii ktk kioo??wee Kitenge,
    suala sio mke ata yeye waenda futuru ivo tena sehem ya hadhi ubalozini fua liko nje??
    afu wavokata matonge duh,,nahisi wee nanihino,,au ulizamia or kwa niaba ya mtu nini??teh teh teh
    usirudie tena

    ReplyDelete
  6. hiyo kaunda suti inahitaji undershirt. hivyo alivyovaa ni kana kwamba na yeye anataka kuonyesha "cleavage" manaake kifua chenyewe hana.

    ReplyDelete
  7. wee KITENGE/KHANGA HEBU PITIA PALE KWENYE SAGULA SAGULA UTAFUTE FULANAZZ YA NDANI, USITUONYESHE HICHO KIFUA CHA PANZI...

    ReplyDelete
  8. Waswahili walisema "pilipili usoila yakwashiani?" We mtu ajistiri vizuri kashakuudhi kwani kakwambia wee uivae. Unaweza ukawachagulia cha kuvaa walio chini ya himaya yako tuu.

    ReplyDelete
  9. Nakubaliana na mdau wa kwanza. Anahitaji at least a tshirt inside. Ukichukulia na hali ya hewa Dar ni lazima hiyo top itakuwa inanukia kikwapa. Nadhani tonge lilimchanganya.

    ReplyDelete
  10. MKUTANO ULIOANDALIWA NA WAJERUMANI UKUMBI WA KOREA NGUMI ZILIZUKA, KWANINI MAKAFIR, KWANINI MAKAFIR. FUTARI YA MUINGEREZA IMENOGA HAKUNA KAFIR TENA. HABARI NDIYO HIYO.

    ReplyDelete
  11. BADO WAPO, HUENDA NA WEWE UMO

    ReplyDelete
  12. we 7:11PM ulionekana ukumbi wa korea ukirusha kiti, sasa iweje tena ukahudhuria hiyo futari? njaa huleta utumwa.

    ReplyDelete
  13. kuna ujumbe uliwekwa hapa kuhusu watu kuwafuturisha vigogo badala ya walala hoi lakini michuzi hukuuweka inaonekana na wewe ulikugusa kwani uko kwenye hilo kundi la wanafiki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...