Balozi wa Uingereza nchini, Philip Parham akizungumza na Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, (Wa pili kushoto) katika futari aliyoiandaa mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Waziri Kiongozi, Mh. Shamsi Vuai Nahodha na kulia ni Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mh. Hamid Mahmoud Hamid

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HIZI FUTARI ZA HAWA MABALOZI LAZIMA ZINA JAMBO, MBONA PASAKA NA KRISIMASI HATUWAONI?

    ReplyDelete
  2. Eee bwana ee! acha kumsemesha mwenzio anaftari! watu wakila hawazungumzi! Mzungu gani wee Hujui TABLE MANNERS?! AU SABABU MMEKAA CHINI?!

    ReplyDelete
  3. anony September 23, 8:21 acha zako na kuanza mambo ya kitoto kulilia pipi rangi moja, huyu balozi ni Muingereza na kidesturi Wazungu sikukuu kama hiyo ya krismas huenda kujiunga na familia zao! kwa maana nyengine muheshimiwa balozi anaruka zake UK umefahamu sasa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...