vijana wa madrasa wakifuturu unguja wasichana wa madrasa wakifuturu unguja
Bi Mwamvita Makamba Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Jamii cha Vodacom Foundation akiwa na watoto baada ya Futari Unguja.
Mh. Fatma Maghimbi mbunge wa ChakeChake Pemba-Zanzibar akitoa shukurani baada ya futari na makabidhiano ya zawadi kutoka Vodacom Foundation kwenda kwa watoto wa madrasa wa Pemba 1,000.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. brother michu namna gani? nimewahi kukutumia post kukurekebisha lakini bado naona unaendelea kutumia neno "kufuturu". neno hilo lina maana nyengine na ni mbaya hasa katika visiwa vyetu vya unguja na pemba. Futari inakuwa kufutari. Futuru ni matusi!

    ReplyDelete
  2. Hivi kiswahili kigumu kufikia hali hii neno futuru mbona limetumikamahali ambapo halistahiki au muwandishi uwezo wake wa ufafanuzi ni mdogo kinachofanyika hapo ni kuwa watu wanafutari kwaleoitakuwa si mahali pake kulitolea ufafanuzi neno FUTURU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...