Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukiwa kama balozi wa Zain, hii huoni kama unachanganya maslahi hapa?

    ReplyDelete
  2. Bro Michu, usimaindi uropokaji wa hawa waosha vinywa, endeleza libeneke huku ukibalansisha mambo kama hivi...

    Hii kazi lazima inatoka kwenye 'balcony moja noma' sana kwa mamwinyi Msasani, Bongo Daslam. Folks are takin over once again, big up!

    Ila sasa noma ya kuongea bure imeshaanza kubalansiwa, mitandao mingine inasubiri sijui Yesu arudi ndio waamke?

    Kalagheni bhaho!!!

    ReplyDelete
  3. hayo ni mawazo tu binafsi, sio kumuwangia. tunajaribu kuona ni nanma gani inawezakana ukawa mjumbe wa chadema at the same time una bandika mabango ya CCM ktk nyumba yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...