
Kutakuwa na hafla ya kuchangia ukarabati wa Skuli ya Ziwani Pemba Jumamosi ya tarehe 4 Oktoba 2008.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa barua pepe yetu
au
tembelea mtandao wetu
Mdau,
Aalborg,
Denmark.
UFAFANUZI: Zoezi hili linahusi skuli ya ZIWANI na sio KIWANI. Samahani kwa usumbufu wowote uliojitokeza.


Salaam Michu,
ReplyDeleteHawa jamaa ama wamekosea wao au wewe. Huu mchango ni kwa ajili ya Skuli ya Kiwani (KI) sio Ziwani (ZI). Hizi ni skuli mbili tofauti. Kiwani kama inavyoonesha kwenye bango iko Mkoani,Kusini,Pemba na Ziwani iko Kaskazini Pemba.Waambie jamaa warekebishe.
Mdau
USA
Changia kwanza ya Ziwani halafu Kiwani itakuja . Au yeyote itakayoanza.
ReplyDeleteHi kaka michuzi, Tunashukuru kwa hili tangazo la Kuchangia skuli ya Ziwani, Lakini naona hapo Pana Tatizo, kidogokuhusu skuli ipi inatafutiwa harambee. wahusika waangalie wasije wakaharibu mchezo mzima. Mimi ni Mpemba fyoko, kwa sasa niko cape Town nabukua atii. Ninavyoelewa , Hizi skuli ni mbili Tofauti hata wilaya ambazo zipo ni tofauti, Kiwani ipo mkoani,na ziwani ni Chakechake. sasa ipi inayopigiwa harambe? wambie wabadilishe na wafanyeuamuzi wa haraka on which is which,othewise tutawaona natapeli
ReplyDeleteMdau wa Cape Town
safi sana mzee na mimi nitakuwa harambee katika mradi wangu wa degree kwa kila mtazania ifikapo mwaka 2055
ReplyDelete