
Assalam Alleykum,Katika pitapita zangu hapa Accra leo nimekutana na Gari hilo la Kamapeni la Mgombea wa CPP Ghana Dr.Papa Kwesi..Katika hali ambayo bado sijapatia ufafanuzi nilipofika hoteli ya COCONUT GROOVE REGENCY inayomilikiwa na mgombea huyo nikaona Magari mengine mawili yanayofanana na hilo pichani yakibanduliwa picha (contravisions)..
Mbio za uchaguzi huku zimeshika kasi na CPP tayari wanakiona cha moto toka kwa Nana Addo Akufo (pichani kulia akipgiwa upatu) ambaye ana full support ya raisi wa sasa Koufor na mstaafu Rawlings.
Ghana inafanya uchaguzi wa Wabunge na Raisi Desemba saba mwaka huu.
Ghana inafanya uchaguzi wa Wabunge na Raisi Desemba saba mwaka huu.
Mdau wa Mayfair
Accra


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...