Home
Unlabelled
kikwangua anga barabara ya sam nujoma rodi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inafurahisha kuona kasi ya ujenzi wa barabara.
ReplyDeleteLakini ninashindwa kuelewa kwa nini bado tunaendelea kujenga njia mbili-mbili halafu zinaelemewa na wingi wa magari?
Tunaacha nafasi kubwa ya kutenganisha pande mbili wakati zingeweza kutoa njia mbili zaidi na bado kukapatikana nafasi ya kati.
Najua pesa zaidi zinahitajika,lakini ni miaka mingapi kabla hatujaanza kufikiria kuongeza upana wa barabara zinazojengwa sasa?
ujenge ukaribishe machinga zaidi bongo??na foleni zisizoisha,,,ivi ile njia 3 magari asubui na jioni bado ipo bongo??
ReplyDeletepreviously nilikua bongo aisee kituko yan jamaa wanakutana uso kwa uso,,,sikizia sasa daladala drivers ndo vituko kbs yan it was chaos
Asante Anony wa 8:07, nilidhani peke yangu nashangaa na hilo lijinafasi kubwa lililoachwa katikati ya barabara na kwamba kwanini isipanuliwe kwa upana huo angalau lane ziewe tatu tatu either sides! tusubiri wataalam watafafanua.
ReplyDeleteDD
Let's wait n' see. Inawezekana hiyo nafasi ya katikati imetengwa kwaajili ya mfumo wa magari makubwa (mabasi yaendayo kasi).Nivizuri ukafanya utafiti ujue huo uwazi ni wanini.
ReplyDeleteSio kila kitu kinachafanywa na Serikali hakina akili.Nakumbuka wakati niko huko nyumbani watu walipiga kelele sana kuhusu hiyo barabara kwamba wanaojenga hawajui kujenga, hawana uwezo etc. Hata the Comedy ikabidi waiombee hiyo barabara,lakini sasa nasikia iko bomba kuliko hata Nyerere road. Labda kosa kubwa la serikali yetu huwa haiweki wazi mipango yake kwa sisi watu wa kawaida
By Mdau-Cardiff