Mmoja wa maafisa walioko kwenye msafara wa Waziri Mkuu, Bw. Hamisi Kamundu akijaribu kupiga simu kwenye eneo pekee ambalo mtandao wa nanihii unapatikana katika kijiji cha Mapili wilayani Mpanda kama maandishi ya nyuma yake yanavyoonyesha. picha na mdau Irene Bwire mwandishi msaidizi wa waziri mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Maisha bora kwa kila mtanzania

    ReplyDelete
  2. hii picha jana ilikuwa hapa na leo nimeiona IPPMedia na kibandiko..Je haki miliki iko wapi?

    vinginevyo ..lazima waonyeshe kuwa wameitoa kwa blogu ya Misu..

    next time..wapeleke mahakamani kama walivyowafanyia "the comedi"
    dunia,,.hii sio ya ku-kopi na ku-paste tu..

    ReplyDelete
  3. WADAU TUMSAIDIE KWA KUMELIMISHA MWENYE KIBANDA NA ENEO HILO KUWA ANAWEZA KUWA MJASILIAMALI MZURI TU KWA KUTOZA MALIPO KIDOGO KWA WATU WANAOTUMIA ENEO LAKE KUPATA NA KUPIGA SIMU, HAIWEZEKANI MTU ANATOKA DAR NA POSHO MFUKONI ANASIMAMA KWENYE ENEO LAKO NA KUPIGA SIMU BURE KISHA ANAONDOKA NA PESA YAKE MFUKONI.

    ReplyDelete
  4. mimi mwaka 2005 nilifika sehemu moja iitwayo Njia 4, mbele kidogo ya Somanga kama unaelekea Nangurukuru (kwa faida ya wasomaji hii ni katika wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi.

    ...pole pole naamini nchi yote itakuwa covered. Lakini pia nashauri watu wasisidi kukimbilia misituni. ni vema tugaiga taratibu nzuri za watu wa Rwanda kwamba watu waishi kando kando ya barabara si kujichimbia misituni kwa kisingizio cha kutafuta mashamba, tabia ambayo imesababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchomaji moto misitu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...