Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo George Mkuchika akiwa na Naibu wake Joel Bendera (Kulia) na Naibu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wizarani Bi Rachel Masamu akiongea wakati wa kuadhimisha siku ya michezo kitaifa ktk viwanja vya bustani ya Mnazi Mmoja gaden leo asubuhi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. tunataka medali olyompic kaja mlevi mmoja anafuta michezo mashuleni hivi hii hasara aliyoipa taifa itafidiwaje ? inasikitisha sana .. michezo ndio afya

    ReplyDelete
  2. siku ya michezo na hotuba?...hehehe

    ReplyDelete
  3. siku ya michezo ingeanza na jogging.... lakini fitness ya mafisadi mbaya....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...