mshiriki wa big brother III latoya akiwa katika mkutano na waandishi wa habari hoteli ya southern sun. unaweza kumsikiliza kaongea nini kwa kwenda www.dailynews-tsn.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Nilikuwa na hasira na huyu Latoya lakini kwa alivyo jieleza nimelegea na kuwa mpole...anajua kuongea na kujieleza vizuri...Latoya uwe mwandishi wa Habari au Mtangazaji..au mwanasiasa..hongera sana..dada kyekue

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi mimi nakuheshimu sana kaka yangu. wewe ni mtu mmoja poa sana na una hadhi zote za kuheshimiwa. Ombi langu ni moja tu. na ninajua utaisoma hii comment. Naomba umwambie huyo theutamu aache hicho alichokianzisha. kwanini anakuwa na roho ya kinyama hivyo jamani. Dada yangu jana kanywa sumu na sasa yuko hospitali hoi bin taaban. Kaacha watoto watatu mmoja ni ana miezi mi2 tu. Mumewe kamuacha sababu ya habari za uzushi zilizozndikwa humo. Please please. Nimekuja kwako coz najua wewe unaweza nisikiliza na kunisaidia. Mwambie anatesa hawa malaika wa mungu wasiojua chochote. watoto wanateseka no mama no baba. Jamani hebu kuweni na huruma. Kaka michuzi, nisaidie jamani.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza umeona nilichokiandika kuhusu LATOYA?Anajua kujieleza vizuri huyu binti lazima tukubali,mimi nilimsikiliza na kumwona wakati anatolewa kwenye lile jumba nikamkubali.Kama alivyopendekeza mdau namba moja hapo juu,anafaa sana makampuni ya utangazaji,promotions,customer care n.k.Tusikae kumponda tu kwenye updande mmoja,anapofanya vizuri tunasifia.Ndiyo ustaarabu

    ReplyDelete
  4. Mimi mdau wa Uk bado nasema kwamba Latoya hana boyfriend.
    Si ange date na huyo msambaa Shelukindo? mbona wanapendeza pamoja.

    ReplyDelete
  5. Jamani latoya anastahili pongezi na heshima kuliko mnavyo fikiria. ametuwakirisha vizuri sana kuliko hata walio mtangulia (richard na mwisho)kwanza anajua kujielezea, pili anajiamini, pig up latoya, mimi nakufagilia mno kupita maelezo, sio kila aliebaki bba3 ni mshindi, na kutoka wa kwanza sio kwamba wewe hufai, la hasha, na nina uhakika binti utafika mbali maana malengo unayo. ahsante sana kwa kutwakilisha sisi watanzania wenzako.

    ReplyDelete
  6. Jamani acheni kumsema mtoto wa mwenzenu,kazi kusema hana boyfrendi kama mlikua mnaishi nae kabla,mimi namjua boyfrendi wake basi tu dada wa watu hataki kumuingiza huyu kaka katika ujinga wenu usiokua na maana. hongera dada latoya

    ReplyDelete
  7. Wewe Mama T kama umeamua kumfagilia Latoya mfagilie lakini usimlinganishe na Mwisho na Richard.

    Hawa wawili walifika mpaka mwisho wa gemu kwa hiyo Latoya wala hayuko kwenye league yao.

    Big Brother si lelemama inahitaji ujanja ili kusurvive. Latoya hakuwa na huo ujanja. Period.

    //Mdau

    ReplyDelete
  8. mchaga ni mchaga tu, nilijua! kaendeleza ngono kadhani atakoga nyoyo za watu, sasa anajitetetea nini.Nilijua hatafika mbali.
    katudhalilisha tu wanawake wa bongo..sana na arudi mombatha alikotokea...

    ReplyDelete
  9. We unayesema wachagga wanapenda ngono kwani wewe huipendi!!ingekuwa upendi unge....acha uzembe wewe!!

    ReplyDelete
  10. Wewe uliyesema mchaga ni mchaga tu,umeniudhi sana ina maana makabila mengine hawapendi?Acha hizo wewe andika comment yenye maana.

    ReplyDelete
  11. Annon 5:48 pm

    Hata mimi nakuunga mkono na mguu. Ni kweli wachaga wa siku hizi wamebobea kwenye ngono. Zamani ilikuwa tofauti..... waliendekeza fedha. Nadhani kinacho wasumbua wachaga ni ushamba na upeo mdogo wa kuelewa mambo. Ngoja tuwaache tu maana wamezibukia ngono kipindi kibaya.

    //Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...