Aida na Ephraem Mpendamani baada ya kufunga ndoa
Ndugu na jamaa wakisheherekea harusi ndani ya ukumbi mwanana wa Crystale Royale jijini Houston, Texas
maharusi na wapambe wao wakijiandaa kuingia ukumbi wa tafrija

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hongereeni sana sana.Ndoa ni kuvumiliana.Mpitoze utamaduni wetu,manake wenzutu mataifa yaliyoendelea ndoa zina tofauti kidogo na za kwetu.Nyingi zina vurugu,divorces nyingi ukilinganisha na za kiafrica.Ndiyo maana nawasihi m-ishi maisha ya ndoa za kiafrika.Mungu awabariki

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana na mkayapendezeshe maisha yenu kama mlivyopendezesha harusi yenu. Kila lakheri.

    ReplyDelete
  3. Anony wa kwanza... hebu rekebisha kidogo... mi nadhani NDOA NI KUPENDANA na SI KUVUMILIANA au vipi? Hii mambo ya kuvumiliana ndo inasababisha mtu atende kosa makusudi kwa kisingizio eti 'NDOA NI KUVUMILIANA'

    ReplyDelete
  4. ndoa ni UPENDO JAMANI hamna kuvumiliana bila upendo yaani love wadada wahome nikiwepo mie ila sasa sipo wanaolewa na kile kuvumilia basi wanaume ndio wanapata nafasi ya kwuaonea halafu vumilia NO

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Bwana na Bibi Harusi. Mmependeza sana. Ndop ni moja ya hatua kubwa kwenye maisha ya binadamu.

    ReplyDelete
  6. Nyie jifanyeni hamtaki kuvumilia,mkiachika tayari mnakuwa mmeshuka thamani wakati mwanaume aah anajiachia tu.Ataoa mtu mwingine kirahisi wewe sasa mdada ulioachika ndo kazi kwako.
    Msinichukie ndo ukweli wenyewe

    ReplyDelete
  7. binafsi sio mchangiaji saana hapa kijijini ila leo HAO WANAOSEMA NDOA NI UPENDO NI KAM WAMENICHOKOZA,KWA MAONI YANGU NDOA SIO UPENDO,ILA NI KUVUMILIANA ,NA UVUMILIVU KTK NDOA NDIYO SABABU KUU YA NDOA KUDUMU WALA SIO MAPENZI KM WANAVYOONA WENGI,KWA MTAZAMO WANGU UNAPOAMUA KUOA AU KUOLEWA NI LAZIMA UJUE YAPI NI YA MSINGI KATIKA HUO MUUNGANIKO WAKO,MWANAMKE NI MWANAMKE NA MWANAUME NI MWANAUME KIJADI HAWA WOTE WANA WAJIBU TOFAUTI TOFAUTI KADIRI YA MAHITAJI,NA NDIO MAANA KUNA KALE KAMVUTO FULANI BAINA YA WANAWAKE NA WANAUME,HUU MVUTO KIMSINGI NI WA KIASILI ZAIDI, NAKUJA KTK POINT YANGU DHANA YA NDOA KTK KIZAZI KIPYA CHA DOTCOM,IMETAWALIWA NA DHANA YA UPENDO AU MAPENZI AMBAYAO VIJANA TUNAYASHIKIA SANA BANGO LAKINI KIMSINGI HAYATEKELEZEKI,KWA MAANA SIO HALISI,KILA KONA NDOA NI UPENDO NDOA NI UPENDO,NASEMA HAPANA NDOA NI KUVUMILIANA ,KUTIMIZA WAJIBU NA HESHIMA,UKIPATA MWANAMKE AU MWANAUME AMBAYE ANAWEZA KUFIT KATIKA HAYO BASI UHAKIKA WA NDOA YAKO KUDUMU NI MKUBWA, KWA MFANO UMEWAHI KUJIULIZA ZAMANI BABU NA BIBI NDOA ZAO ZILIDUMU ,LAKINI WENGI WAO WALIKUWA WAMECHAGULIWA WAKE AU WAUME LAKINI WALIISHI MPAKA WAKAZIKANA,TENA WENGINE WALIONYESHWA PICHA TU NA KUMBIWA HAYA HUYU NDO MUMEO,AU HUYU NDO MKEO WALIOANA NA WAKADUMU,KIZAZI CHETU CHA DOTCOM(AMBACHO NA MIMI NIPO)TUMEUKUMBATIA UONGO NA KUUACHA UKWELI ,NDIO MAANA WENGI WETU WANADAI WANAPENDANA LAKINI NDIO WA KWANZA KUTENGANA RATE YA NDOA KUVUNJIKA NI KUBWA KWA SASA KULIKO ZAMANI,WAKATI SISI TUNADAI TUNAONA KWA KUWA TUNAPENDANA NA TUNA UHURU WA KUCHAGUA TUWATAKAO MBONA HATUDUMU?,KWA HIYO BASI CHONDE CHONDE TUSIKUMBATIE UONGO WAKATI UKWELI UPO DHAHIRI,BINAFSI BADO NIPO NIPO SANA ILA HATA SIKU NITAPOAMUWA KUWA NA MWENZA KM IKITOKEA SITAANGALIA NAMPENDA AU LA ILA NTAANGALIA ATAFIT VP KTK WAJIBU+UVUMILIVU

    HONGERA KWA MAHARUSI HAPO JUU KILA LA HERI

    ReplyDelete
  8. Pole mchangiaji wa herufi kubwa!

    ReplyDelete
  9. JAMAA ALIKUWA MPIGANAJI MWENZANGU TULIKUWA WOTE MOSHI HONGERA MZEE KEEP TOUCH 1 240 354 5243 , EMAIL TGEOFREY@GMAIL.COM

    ReplyDelete
  10. anon wa 8.02pm wa herufi kubwa,,,umenichekesha saana,,hahahaa teh teh tih tih,,
    sii mchezo umeitoa wapi hii??yan km inaelekea ingawa mh!!sio vile sana

    ReplyDelete
  11. herufi kubwa

    ndoa ni kuvumiliana? utavumilia vipi kama humpendi mwenzio?
    mapenzi ndo yatafanya uvumilie, kama hamna mapenzi hamna cha ndoa, ni kudanganyana,labda watoto au ndugu au marafiki watasemaje tukiachana ndo mnabaki kuvumiliana,

    kalaga bao herufi kubwa,vumilia tuuuuuu hata kama hupewi chakula wala nguo we vumilia tu.

    ReplyDelete
  12. Hongera sana Aida na Efraim. Mmependeza sana sana jamani!Tunawatakia maisha mema, marefu yenye amani, upendo na furaha tele. With lots of love from N& H Ottawa-Canada.

    ReplyDelete
  13. Hongera Rafiki Mungu awabariki

    Tuwasiliane kaka utanikumbuka tu tukiwasiliana toa email yako hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...