SAMAHANI KAKA MICHUZI,
MIMI NI MDAU WA BLOG HII NIPO MASOMONI NCHINI INDIA,NILIKUWA NAULIZA KAMA KUNA MTU MWENYE NYIMBO YA "MASSAMBA"ULIOIMBWA NA NDALA KASHEBA ANISAIDIE KWANI NIMEUTAFUTA KWA MUDA MREFU SANA.
MIMI NI MPENZI SANA WA ZILIPENDWA NA NINAZO NYINGI SO NAWEZA KUMSAIDIA MTU MWINGI AKIITAJI ZILIPENDWA NINAZO NYINGI SANA.
EMAIL YANGU NI:
KWA YEYOTE ANAYEHITAJI ZILIPENDWA.


Rudi kwenye internet: http://www.google.com
ReplyDeleteintitle:''index.of "(mp3)(tia jina la artist au wimbo ndani ya bano hili) yaani:
intitle:"index.of"(mp3/mp4(masamba)
ukimaliza download vitu.
Nenda http://ndalakasheba.calabashmusic.com/
ReplyDeleteAchana na denzo unaua juhudi za wasanii
http://bitmunk.com/media/6043999
ReplyDeleteNENDA WWW.EASTAFRICANTUBE.COM
ReplyDeleteDu! Ndiyo Maana wanamuziki wetu hawana maisha,i thought utauliza wapi unaweza nunua?
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi,Ni marehemu Ndalakasheba na =jua watu wengi hawafahamu kama alishafariki miaka miwili iliyopita.Unaweza kununu nyimbo zake toka Amazon.com/music
ReplyDeletekenge
wee mbona unajichanganya, umedai kuwa unazo nyimbo nyingi za zilipendwa sasa inakuwaje hii unayoitafuta haipo kwenye hizo nyingi? sina uhakika ulikuwa na kusudi gani la kujitamba kuwa unazo nyingi sishangai lakini ndo maana uko india, anyway huo mwimbo unaoutafuta ninao ila kwa kuwa sikupendezwa na kauli yako ya awali sikupi
ReplyDeleteMbega
WEWE ANNOY WA 5.50 UNA MAANISHA NINI UNAVOSEMA NDO MANA YUPO IDNIA KWANI AKIWEPO INDIA KUNA TABU GANI HASWA?
ReplyDeleteUNAZANI INDIA KUNA KUBEBA BOX UKU?UKU NI KUSOMA NA KULA RAHA TU HELA INAINGIA KILA MWISHO WA MWEZI HAMNA JASHO UKU!
BWANA MBEGA SAMAHANI DHUMUNI LANGU SIO KUJITAMBA DHUMUNI LANGU NI KWAMBA KWA MTU KAMA ANAHITAJI NYIMBO AMBAYO NINAYO NAWEZA KUMPATIA NA MIMI SIO KWAMBA NIPOKEE TU SIKUWA NA NIA MBAYA.NAKUOMBA UNIPATIE KAMA UNAYO KUPITIA MAIL YANGU.
ReplyDeleteNATANGULIZA SHUKRANI
annon 9.35am
ReplyDeleteuna akili saaaana,,ni kweli kwa mwendo huu wanamuziki wetu hawatainuka wala BASATA haitasaidia na chama gani kile sijui cha haki miliki.
yan badala kusema wapi ninunue eti oooh naazima,nisaidieni,ntashukuru sana ukintumia ktk email??jaman izi akili za mafisadi kbs.
msimpe kbs mwonyeshen wapi akanunue full-stop.