Hivi karibuni ulibandika picha ya thamani ya pesa za madafu katika blogu yako. Kiunganishi:
2008/09/bei-ya-madafu-leo.html
mdau David Villa aliuliza swali zuri sana humo juu ya uhusiano wa viwango vya kubadili fedha za kigeni na kiwango cha uchumi wa nchi.
Wadau wengi walijaribu kumjibu vyema lakini kwa maoni yangu hatukuweza kudadavua kikamilifu. Hivyo basi nimefungua mjadala katika tovuti ya UCHUMI NA FEDHA
2008/09/question-on-foreign-exchange-rates.html)
na naomba ubandike haka katangazo kuwaomba wadau watembelee jamvini tujadiliane na kuelemishana.
Natanguliza shukrani.
MDAU
Fluctuations in exchange rates:
ReplyDeleteAn exchange rate is price of buying other currencies at a money market, hence, there is a
market based exchange rate that will change whenever the values of either of the two component currencies change. A currency will tend to become more valuable whenever demand for it is greater than the available supply.
It will become less valuable whenever demand is less than available supply (this does not mean people no longer want money, it just means they prefer holding their wealth in some other form, possibly another currency).
Increased demand for a currency is due to either an increased transaction demand for money, or an increased speculative demand for money.
The transaction demand for money is highly correlated to the country's level of business activity, gross domestic product (GDP), productivity and employment levels. The more people there are unemployed, the less the public as a whole will spend on goods and services. Central banks typically have little difficulty adjusting the available money supply to accommodate changes in the demand for money due to business transactions.
The speculative demand for money is much harder for a central banks to accommodate but they try to do this by adjusting interest rates.
An investor may choose to buy a currency if the return (that is the interest rate) is high enough. The higher a country's interest rates, the greater the demand for that currency. It has been argued that currency speculation can undermine real economic growth, in particular since large currency speculators may deliberately create downward pressure on a currency in order to force that central banks to sell their currency to keep it stable (once this happens, the speculator can buy the currency back from the bank at a lower price, close out their position, and thereby take a profit).
EDWARD. A.M.
Asante sana michuzi na wadau ambao mlinipatia majib.Baada ya kupitia comments zote nimeanza kupata Mwanga kidogo.Nawashukuru wadau.Siku moja nilitua kwenye jiji la Accra(Ghana)nikakuta dola 1=~11,000 Ghanaian Cedi!
ReplyDeleteKuna kitu kingine nimekigundua katika kusafiri safiri kwenye nchi zingine,kwamba currency yao inaweza kuwa strong lakini bei za vitu zikawa juu!.Nikagundua kwamba kumbe kwetu(TZ) bei za vitu bado "ziko chini".Hapa nilipo hela yao ni ina nguvu(~2 times) kuliko ya Tanzania lakini wakati Tanzania naweza kubadili dola 5 nikapata kilo 4 za sukari hapa dola 5 ndiyo kwanza unapata kilo 1tu ya sukari.Lakini majibu ya wadau yamenipa mawazo ya 'what exchange rates are all about'.Ahsanteni sana.
Exchange rate haielezei chochote kuhusu uchumi wa nchi, maana iweje fedha ya ethiopia Bir 8 (Nane) iwe sawa na Pound sterling 1 (moja) na nchi ile ni masikini sana, yaani Bir 8 = £1.
ReplyDeletehebu wanauchumi mtueleze mambo haya ya exchange rate kwa lugha rahisi.
one thing I can say n regards to that is that the country you are in, the standard of living is high. This is typical with countries with high economic level. And usually (though not always); high economic level means high exchange rate.
ReplyDeleteI will give you anotother example, I live in a counrty whose currency is almost at par with the USD; the house I live in, rent is around $1100 per month (and it's not a fancy house... it's a simple house with all the tenants being students); where as in Tanzania; for a house of this caliber I would only pay $250 at most.
So the fact that the currency of the country you are in, beats the TZS could possibly mean their economy is higher than ours and as such, the living standards are high too. You see that happening in Tanzania too; everytime salaries go up, commodity prices go up too. The important this is that for the economy to grow, the prices should not increase faster than the income growth. ie, in economic lingo, the Consumer Price Index (and consequently the inflation) should grow much slower than the Per-Capita-Gross-Domestic-Product
That is why when comparing two different countries, Economists consider the Purchasing-Power-Parity (PPP). i.e, the compate not just the purchasing power (PP); but they are adjust the PP by scaling it according to the exchange rate
Exchange rate inaeleza uchumi wa nchi hiyo haina ubishi, Zimbabwe kabla MUGABE hakimpanda kichaa £1 ilikuwa sawa na Zimdollar 500 miaka minane iliyopita sasa £1 ni sawa na Zimdollar 50,000,000.00+ hali ya uchumi wa Zimbabwe sasa ni sawa na sefuri, NA ETHIOPIA KATIKA MSIMAMO WA NCHI MASIKINI DUNIANI INATUPITA SISI KWA MBALI SANA HI SI AJABU PESA YAO IKAWA NA GOOD EXCHANGE RATE AGAINST HARD CURRENCIES.
ReplyDelete