Benja wa MAMBO JAMBO anatupasha kwamba albam yao mpya iko tayari na inapatikana kwenye internet.
Yaani Albam ya Mambo Jambo ipo kwenye iTunes, CDBABY.com nk. Albam ya D Knob itapatika iTunes pia muda si mrefu, kwenye CDBABY.com inauzika tayari.


from=search&albumId=1490691


na sio vibaya ukipita kwa mdau Miika Mwamba Kari hapo chini
www.mwambaproductions.com
www.youtube.com/MiikkaKari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ben sister B hapa nitumie email yako na namba ya simu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...