Home
Unlabelled
mambo ya kempinski kimanjaro hotel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
siii mchezo haya mahanjuz,,,
ReplyDeleteso its possible to conduct diffferent ceremonies,parties?so nice really they;re gd
bro michuzi, tuulizie tafadhali bei ya kumbi hizo maana kwa kweli ni bomba sana.
ReplyDeleteYOTE NI UBATILI!!!! Mhubiri anasema
ReplyDeleteMtu ukiwa huna hela bwana! Wee acha tu unashika dini kweli kweli!
ReplyDeleteNa nyie wengine si muingie kwenye website ya Kempiski muulize bei kwa email au kwa simu sasa kutaka kumkwaza mwenzenu na kibarua kisicho na mshahara! Mbona kuuliza bei ni simpo!
we anonymous wa 2:29am mbona unakuwa huna busara huyo mtu angekuwa anajuwa hivo vitu asingeuliza hapa,jitahidi kuwa mkalimu sa nyingine.
ReplyDeleteahsante.