UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Mwalimu Julius Nyerere Chair in Pan-African Studies
P. O. Box 35091
Tel: 255-22-2410763,
255-22-2410500-9, x.2326
Cell: 255-754- 475 372
Dar es Salaam
MBONGI WA PILI WA MAKAMU WA CHUO
10 OKTOBA 2008
MNAKARIBISHWA MNAKARIBISHWA MNAKARIBISHWA
MADA: ZAHMA ZA CHAKULA NA MAFUTA (FOOD AND FUEL CRISIS)
MCHOKOZI MKUU: JENERALI ULIMWENGU
WASHIRIKI:PROFESA HAJI SEMBOJA [ERB, UDSM] PROFESA AIDA ISINIKA [SUA/OXFAM]
BI. SIHAM AHMED [TUCTA]
DKT. KHOTI KAMANGA [LAW, UDSM]
DKT. ADOLF MKENDA [ECONOMICS, UDSM]
DKT. NG’WANZA KAMATA [POLITICS, UDSM]
TAREHE:10 OKTOBA 2008 (IJUMAA)
MUDA:10 – 12 (MCHANA)
MAHALI:UKUMBI WA NKRUMAH,
CHUO KIKUU,
MLIMANI
Kaulimbiu ya Mbongi:Kila mtu hutafakari; kila mtu huthaminiwa; hakuna anayethaminiwa zaidi au pungufu kuliko mwingine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. naomba kuhakikishiwa toka lini Haji Semboja amekua profesa,, maana hadi mwaka jana alikua bado dr...tafadhari mwenye data anielezee

    ReplyDelete
  2. Anony 11.31
    Nadhani suala la mtu kuwa profesa huwa halichukui hata dakika moja kupitiswa maana wewe unazungumzia mwaka jana, swali labda ni profesa wa nini. Walioandika hawajakosea

    ReplyDelete
  3. Muulizaji lazima ujue u-Profesa hauna shule au chuo cha kusomea!! unatokana na chuo kutambua mchango wa mtu hasa kwnye masuala ya TAFITI!!

    hata wewe na diploma yako waweza kuwa Prof. uongeza bidiii punguza majungu!

    by the way..

    kaulimbiu ya mbongi imekaa vizuri!!
    hasa kwa wapiganaji wa UFISADI!

    ReplyDelete
  4. U-profesa unaupata kwa njia nyingi nyingi, Mfano nenda google uone u-profesa wa huyu 'rocker' (mwanamuziki wa rock)Prof. Brian Cox -CERN ambaye akaacha muziki kwa muda na kusoma fizikia ya 'Big Bang' . Sasa ni mwanazuoni wa kituo cha CERN na Manchester Univ.(CERN walitengeneza kompyuta ya kwanza ya kisasa duniani

    Kwa kuwa unapenda kujua vipi imekuwa vipi huyu jamaa Prof. Brian Cox alianza digrii ya kwanza 1992 na kupata masters yake na sasa ni profesa kamili umri miaka 39 tu, digrii ya kwanza mwaka 1994.

    Sasa huyu Prof. Haji Semboja labda alifanya vitu bin vitu na wanazuoni wakakubali mpaka unashangaa, kidevu chako kinaburura ktk mchanga kwa mshangao.

    ReplyDelete
  5. Hizi ndizo habari ambazo tungependa kuona zinachukua kama 40-50% ya blog yako sheikh Michuzi au wewe unasemaje??.Nakutakia futuri njema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...