



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
oyaa jibaba hata kama ndio ubalozi wa zain sio hivyo tena, kila kukicha stori za ZAIN tu, weka na za wengine basi.
ReplyDeleteKufuturu wamefunga? Maana mtu kala kutwa nzima halafu ikifika jioni eti nayeye anafuturu (breakfast) au tumeseme wengine wameenda kula chajio wengine ndio wanapata iftar.
ReplyDeleteMsitufumbe macho kwa kujifanya waumini sana, ati mnafuturisha!!! Jamani!! kama kweli nyie ni waislamu sana mngepunguza gharama za simu kwa mwezi wote huu mtukufu.
ReplyDeleteeeh jamani mara mwisho naangalia tv Kelvi Twissa alikuwa Tigo mara leo naona zain, kulikoni?
ReplyDeleteau ndo mambo ya mkwanja mwingi!!
Dada lao, just curious to know