Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ebwana ndio lazima nije kushuudia bado nipo nipo live babake. big up mzee upo juu

    ReplyDelete
  2. Kaka kweli we mwanaFA yaani hiyo mbinu ya kujiua kwa muda sidhani kama kuna mbongo mwingine anaweza kuifikilia, ila itakutoa sana maana hivi sasa kila mtu anataka kuona misukule lazima ujaze watu kila tamasha utalofanya. Bado upo upo eheee! nakuheshimu sana mkuu.

    ReplyDelete
  3. universal virtue university imempatia huyu mzee digrii ya falsafa inamtambua kama prof dr mwana fa. profesa j pia ni miongoni mwa waliopata tunzo hizo. Hii inatokana na mchango wao wa dhati , kutitima kupindukia kuhakikisha wananchi wanapata ujumbe uliopitiliza yale wanayojifunza kwenye vyuo vikuu

    ReplyDelete
  4. Thats for real man.
    " THE DEAD MAN WALKING "

    Big deal!!!

    ReplyDelete
  5. Watu wameshaanza kukupa domo baya basi jichunge aisee unaweza kufa kweli

    ReplyDelete
  6. Tumaini we mchaga eeh? Maana wachaga badala ya kusema TUZO huwa tunasema TUNZO anyway ni tuzo na si tunzo maana tunzo ina maana nyingine kabisa. Big up Mwana FA eeh bwana mkubwa nakupa enough respect!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...