Home
Unlabelled
ziwa tanganyika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
YAANI HAPO NDIO UTAKAPOONA JINSI MAMBO YA TANZANIA YANAVYOCHEKESHA!! TUMEZUNGUKWA NA MAJI LAKiNI MTU AKITAKA MAJI NI LAZIMA AHANGAIKE. TUNA GESI ASILIA KIBAO LAKNI GESI TUNAYOTUMIA INATOKEA UARABUNI! NDIO MAANA MIMI HATA SITAKI HAYO MAFUTA WANAYOFIKIRIA YAPO HAPA KWETU YAPATIKANE MAANA YATASABABISHA HATA HAYA TUNAYOAGIZA YAKOSEKANE!! MUNGU IBARIKI TANZANIA NA UWAADHIBU WALE WOTE WALIOHUSIKA KUTUFIKISHA HAPA TULIPO LEO... AMEN!!
ReplyDelete-Kaka G'luv, Arusha.
Maisha bora kwa kila Mtanzania yatakuja lini?
ReplyDeletejamani huyu dada aliyebeba ndoo za maji amenikumbusha mbali sana ni miaka sasa sijabemba ndoo za maji ila nilikuwa nikizibeba utamu na kusaka maji yaliko.
ReplyDeletebara letu nchi yetu jamani maisha msiombe, ila nikirudi nitaenda tena kuyasaka maji.
Haya maji ni salama kwa matumizi ya nyumbani ya Binadamu bila 'treatment' yoyote??Nani amefanya research atupatie majibu.
ReplyDeletewasichana wetu wa vijijini nawapenda sana wao maringo ni sifuri, hawanuni hata kidogo. lakini wenzetu hawa wa majiji mmhhh sisemi. anakuona siku ya kwanza utafikiri mmegombana atakavyo kuangalia, utaona mwenyewe kwamba wewesiyo type yake.
ReplyDeleteutakuta huyo anabidi atembee mile mbili tena kufika nyumbani
ReplyDeletena huko nyumbani kuna watoto wakiume wakubwa tu wangeliweza kwenda kuleta maji, mume, au kaka zake wako tu wamekaa wanasubiri what is for dinner
Aughhhhhhh....wanawake bongo tumesota sana.....stupid culture
maji hayo sio safi kwa kupikia wala kunywa jamani,
ReplyDeleteni lini serikali itaona umuhimu wa kuwafikishia huduma bora wananchi wake.
mbona raisi au viongozi hawatumii maji kama hayo au tulobakia hatuna hadhi?
ı hate tanzania leaders,they are so selfish
MKUU MICHUZI YUKO SINGO HUYU DADA? NATAKA AJE KIWANJA TUZAE WATOTO NA TUENDELEZE LIBENEKE LA KUBEBA BOX...
ReplyDeleteRaha ya mdada kubeba maji kichwani na ndoo kama hivi, ni pale ambapo ndoo inakuwa haina mfuniko...Then mtiririko wa maji unachukua nafasi kunako kifua..Mtu mzima hapo utatamani akwambie..."Samaani kaka naomba unitue".... lol
ReplyDeleteBy mdau, Sam Mchofomvu