Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akipanda mti baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa bweni la wasichana katika shule ya sekondari ya Karema wilayani Mpanda September 19, 2008. Aliyesimamam kushoto ni Mbunge wa Mpanda Magharibi, Abdallah Sumry
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiagana na wanawake wa Kijiji cha Karema wilayani Mpanda baada ya kuweka jiwe la Msingi la bweni la wasichana katika Sekondari ya Karema wikiendi hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hivi mzee ana blackberry ni muhimu sana sasa hivi

    ReplyDelete
  2. ulikosea sana mzee ulipotuambia tuache kale katunguli ketu. sasa tukishambuliwa na sisi tuko mpakani itakuwaje. wenzetu wakipita na satelite zao za fagio lazima na sisi tu jihami na nyungo zetu. achana na hao wadhungu wanatuzuzua na kutuletea kizunguzungu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...