toka shoto mh. john cheyo (udp), mh. augustine lyatonga mrema (tlp) mh.profesa ibrahim lipumba na makamu wa ccm bara mh. pius msekwa katika mkutano wa hadhara hivi karibuni. upinzani haumaanishi kuliana ngumu bali kusigana kimawazo na kiitikadi. wadau mnasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapa Mwanasiasa ni mmoja tu,wengine wote wachovu 'Retirees!'.Walitakiwa hivi sasa watumie muda wao uliobakia kuandika kumbukumbu zao,Biographies zao lakini sio tena longolongo katika siasa.Katika umri huo uongo haupendezi tena!Happy Birthday!

    ReplyDelete
  2. wazushi tu,kweli hapa mwanasiasa mmoja tu,namaanisha lipumba hao wengine ni vibaraka tu wa ccm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...