KHABARI KAKA MICHUZI? MIMI NI MTANZANIA NINAYEISHI BUKOBA MKOA WA KAGERA. NA NI MMOJA WAPO WA WADAU WAKO WAZURI WA BLOG HII NAPENDA SANA KUSOMA KHABARI UNAZOZIANDIKA KILA SIKU SIJISIKII SIKU IKIPITA BILA KUTEMBELEA WEB YAKO UKWELI UKO JUU KAMA TIGO.
KAZA BUTI KAKA KAZI UNAYOIFANYA SI MCHEZO UNATUPA KHABARI MOTO MOTO KILA SIKU. NAPENDA KUWAAMBIA WATANZANI A WANZANGU WAPENDE KUTEMBELEA BLOG YAKO KWANI INA KHABARI MOTO MOTO ZA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA.
NIMETUMA PICHA YANGU KAMA MDAU MMOJA WAPO WA BLOG HII.
ASANTE SANA KAKA MICHUZI
MDAU NEEMA


Hebu tuondokee huko, sasa ndio nini hivyo umekaa kwenye kiti na soda umeiweka chini?
ReplyDeleteMichuzi mimi sitaki kuchafua hali ya hewa.Nina ombi,unaonaje wa/mdau w/akituma picha na salaam akatoa na jina lake halisi.Ni hayo tu.Otherwise mpiga picha alijitahidi sana kupiga hiyo ground oblique photo kutuonyesha vinywaji vya sakafuni!.'MWAKOLA MUNO MUNONGA'!!(Ahsanteni sana sanaa)
ReplyDeleteIwe Mtani!
ReplyDeleteUnaonesha kadomolo kamejaaa!
waitu mkazi, bila hata kusema unakaa bukoba, nikajua ni wa bukoba, samaki kwao majini mama, nchi kavu hoa panya tu. umependeza na coca cola yako.
ReplyDeleteHebu simama nione suti vizuri, nna wasi wasi na fitting yake.jamaaaaani.
ReplyDelete