Kikosi cha FC BONGO Helsinki kinatoa salamu za EID el FITR kwa Wabongo wote kwa jumla ulimwenguni. Salamu rasmi za Eid ziende kwa ndugu zetu KILIMANJARO Stockholm na TAS Tampere.
EID MUBARAK.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. nawatakieni Idd el fitr njema FC Bongo

    ReplyDelete
  2. Siamini kama huko Finland mpaka sasa ni summer! hii picha ilipigwa lini?

    ReplyDelete
  3. asante, nanyie pia.Jamani mbona Mwenyekiti Bonanza kakosekana hapo kwenye picha? bado tu yuko nanihii?anyway,Eid njema kwake pia kaka yetu, popote alipo.

    ReplyDelete
  4. Ilipigwa kwenye sherehe za ushindi wa wa hiyo timu. Mbona mmiliki wake yule nusu mfini sijui nusu mhindi haonekani kwenye picha hiyo?.

    ReplyDelete
  5. we anony wa 2:27... kwani umeambiwa picha ni ya leo au jana? Pili... now it's N. Hemisphere fall.. temperature zinashuka, lakini every now and then unapata kasiku jua linawaka

    ReplyDelete
  6. Wachovu tu hakuna mchezaji hapo!!

    ReplyDelete
  7. Sept 30, 2008 7:28

    Kwanza ulisema kwani imepigwa leo au jana? Exactly sio ya leo wala jana.
    hao wanaowatakia heri ya Idd leo wote ni wazima? je kama mmoja keshafariki tayari lakini bado unatumia picha yake yakuwatakia heri za Idd leo.

    2 Its N hemisphere fall

    jamani na sisi tuko ulaya sasa sijui kama hata jua linawaka watu wanavaa hivyo kwa majira haya, usione kila mtu ni mjinga hapa

    ReplyDelete
  8. Mafala bado wanaumia roho zao wakisikia FC BONGO, na bado this is just a beginning.

    ReplyDelete
  9. wee unaesema hao wachovu, mbona wamechukua kombe?

    ReplyDelete
  10. Lini mtaacha majungu nyie waosha vinywa?, kila mnaposikia habari za hawa vijana mnawalete majungu, hivyo mnawamind kinoma eh?

    ReplyDelete
  11. FC BONGO KIBOKO YA MAHASIDI!

    ReplyDelete
  12. sasa tatizo liko wapi? Kwani kutuma salamu picha lazima iwe recent? Na acha kuwaombea wenzio uchuro.. eti wengine kama wamekufa. Wao waliopiga picha ndio waliotuma na wanajijua kama wapo hai au la. Haya naona una kiherehere, ngoja uhabarishwe basi. The pic is from a couple of months ago when FC Bongo took a boat cruise to Sweden. Umeridhika? ...watu wengine kwa ushamba bwana

    ReplyDelete
  13. acheni utoto....grow up

    ReplyDelete
  14. anny wa 4:04... sit on it and rotate

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...