Home
Unlabelled
salamu za iddi toka fc bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Idd el Fitr FC Bongo...!
ReplyDeletenawatakieni Idd el fitr njema FC Bongo
ReplyDeleteSiamini kama huko Finland mpaka sasa ni summer! hii picha ilipigwa lini?
ReplyDeleteasante, nanyie pia.Jamani mbona Mwenyekiti Bonanza kakosekana hapo kwenye picha? bado tu yuko nanihii?anyway,Eid njema kwake pia kaka yetu, popote alipo.
ReplyDeleteIlipigwa kwenye sherehe za ushindi wa wa hiyo timu. Mbona mmiliki wake yule nusu mfini sijui nusu mhindi haonekani kwenye picha hiyo?.
ReplyDeletewe anony wa 2:27... kwani umeambiwa picha ni ya leo au jana? Pili... now it's N. Hemisphere fall.. temperature zinashuka, lakini every now and then unapata kasiku jua linawaka
ReplyDeleteWachovu tu hakuna mchezaji hapo!!
ReplyDeleteSept 30, 2008 7:28
ReplyDeleteKwanza ulisema kwani imepigwa leo au jana? Exactly sio ya leo wala jana.
hao wanaowatakia heri ya Idd leo wote ni wazima? je kama mmoja keshafariki tayari lakini bado unatumia picha yake yakuwatakia heri za Idd leo.
2 Its N hemisphere fall
jamani na sisi tuko ulaya sasa sijui kama hata jua linawaka watu wanavaa hivyo kwa majira haya, usione kila mtu ni mjinga hapa
Mafala bado wanaumia roho zao wakisikia FC BONGO, na bado this is just a beginning.
ReplyDeletewee unaesema hao wachovu, mbona wamechukua kombe?
ReplyDeleteLini mtaacha majungu nyie waosha vinywa?, kila mnaposikia habari za hawa vijana mnawalete majungu, hivyo mnawamind kinoma eh?
ReplyDeleteFC BONGO KIBOKO YA MAHASIDI!
ReplyDeletesasa tatizo liko wapi? Kwani kutuma salamu picha lazima iwe recent? Na acha kuwaombea wenzio uchuro.. eti wengine kama wamekufa. Wao waliopiga picha ndio waliotuma na wanajijua kama wapo hai au la. Haya naona una kiherehere, ngoja uhabarishwe basi. The pic is from a couple of months ago when FC Bongo took a boat cruise to Sweden. Umeridhika? ...watu wengine kwa ushamba bwana
ReplyDeleteacheni utoto....grow up
ReplyDeleteanny wa 4:04... sit on it and rotate
ReplyDelete