LUKE MUSIC FACTORY
inawakaribisha wote washington dc katika kusherehekea EID EL FITR ijumaa october 3 -october 5 2008 kwenye ukumbi wa safari dc.
Ijumaa october 3 itakua usiku wa mwafrika na kutakua na zawadi nono kwa mshindi atakae valia vazi bora la kiafrika,
jumamosi october 4 itakua usiku wa kimataifa na kutakua na mashindano ya kucheza mduara na mshindi kupata zawadi maalum na jumapili october 5 tutafunga pazia kwa midundo ya ragga.
karibuni safari club madj wako wapo tayari kukurusha na kukupa burudani mpaka majogoo the mix master dj Luke,Young blood dj Kay feat ragga wizard dj vik.
kama hujafika safari bado huja stereheka na vionjo vya burudani washington dc,
safari club,
4306 geogia av,
washington dc
20011
karibuni SHINYANGA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...