Mwalimu Nyerere Day - Netherlands. Ndugu zangu waTanzania, salaam. Kwa heshima na taadhima naomba nijitokeze kuwaalika katika sikukuu ya Mwalimu Nyerere Day ambayo imepangwa kufanyika tarehe 18 October, 2008 katika ukumbi wa DORUS wa chuo cha Insitute of Social Studies, The Hague. Kortenaerkade 12, 2518 AX. Ili kuweka kufanya maandalizi mema, tutaomba wale watakaohudhuria siku hiyo wajiakindishe kwakutuma majina yao kwenye address watanzaniauholanzi@gmail.com.
Taratibu zote za kujulishana maendeleo ya maandalizi zitakuwa zikitumwa kwenye mtandao wa wabongo-nl@yahoogroups.com
na pia kwenye mtandao wa
Pamoja na maadhimisho hayo, siku hiyo imekusudiwa kuwakilisha maendeleo ya mchakato wa kuanzishwa kwa jumuiya ya waTanzania waishio hapa nchini Uholanzi.
Karibuni sana, karibuni wote.
Bulemo Francis Kweba
Interim Secretary,
Association of Tanzanians Living in the Netherlands


makabila makubwa mwiko kuingia ikulu kulikoni? zidumu fikra za mwenyekiti wa chama? hii outdated 'siasa ya ubaguzi wa rangi sio unyama karibuni' mjinafasi. hii ilikwa makaburu wanamuuliza mandela sasa ubaguzi wa rangi ukiisha sisi tutakuwa wageni wanani ? mandela anajibu tutatanua wigo wenu kwenye hizi nchi za kusini mwa jangwa la sahara ndio ikawa hivyo. Tunamfurahia madiba lakini ndivyo alivyotuingiza mkenge. kuhusu chanzo cha tabia halifu endelea hapa http://crimepsychblog.com/?p=670
ReplyDeleteHAPANA, HII NI NYERERE DEI YA SIKU.
ReplyDeleteNo Thank you
ReplyDelete