Home
Unlabelled
taifa kubwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebwana hapo huyo sio Khalid Abeid km Captain? kushoto kwake hapo huyo mrefu anajisema mwenyewe ni Mohamed Bakari "Tall" huyo anaempa mkono mgeni wa heshima ni King Kibadeni "Mputa" ebwana ni mimi Mbegu tena Mdau wa Reading, UK,Abdallah Waswa mzee wa Ilala,Duhh longtime wadau
ReplyDeletemichuzi this is getting good!!! hebu tuanze toka kushoto kabisa shaaban baraza,hassan sakuru/sekulu,nahodha haidari abeid/muchacho,abdallah kibadeni,mohamed kajole,omar chogo,abbas dilunga,willy mwaijibe,aliyegeuza uso nadhani labda ni kessi manangu,aloo mwitu,na mwisho mwenye track suit ni hamisi askari. hii ilikuwa nyamagana 1974 simba walipotoka poland kuja kutetea ubingwa wao wa soka nchini. mohamed bakari tall na jumanne hassan walikuwa bado cosmo ya dar. wasionekana kwenye picha hii ni mambosasa,gumbo,adam sabu,khalid abeid, saad ali n.k.
ReplyDeletemdau Mbegu na Michu hii ndio iliyokuwa real Lunyasi anayemuongoza mgeni rasmi ni Khaidar Abeid anayefuatia ni Mohamed Tall,Omari Mahadhi mkumbuke kuna wakati mahadhi alikuwa akicheza 9 golini akiwa mambosasa)Mohamed Kajole,Omar Chogo,Abas Dilunga,Will Mwaijibe,Arthur Mwambeta,Aloo Mwitu na Hamisi Askari. Mdau Dege Leicester UK.
ReplyDeleteninavyowakumbuka mimi capt Haidari abeid anayetoa mkono abdallah kibaden,moh'd kajole,omary chogo"mluya" abbas dilunga willy mwaijibe hao watatu wa mwisho wamenitoka
ReplyDeleteKepteni anayemwongoza mgeni wa heshima ni Haidar Abeid, Abdallah "King" Kibaden anapeana mkono na mgeni wa heshima, wa tano kulia ni Mohamed Kajole then Omar Chogo (guessing by the head). Nimedata...
ReplyDeleteSiamini wadau mnavyochemka. mimi sio Simba na enzi hizo nilikuwa mdogo lakini siwezi kuzisahau sura za Idd Pazi Father wa kwanza kulia na Zamoyoni Mogella " Golden Boy anayemfuatia. Mnakumbuka lile gazeti la michezo lililokuwa linatoa mapicha kibao na karatasi zake nyeupee!! Na pia kulikuwa na vitabu vya ligi kuu na picha kibao! Eh bwana zamani raha!
ReplyDeleteMdau zito ndio amepatia. Hapo hakuna cha Mohamed Tall wala Jumanne Hassan 'Masimenti', na wewe uliyewtaja Idd Pazi na Zamoyoni ndio kabisaa umetokota.Nadhani wakati huo bado walikuwa shule ya msingi wakicheza chandimu!
ReplyDeleteNyie nyote mmechemsha, aliepatia hasa listi yote waliokuwepo pichani ni Zitto kiaratu mtoa maoni wa pili kutoka juu. yani wala hajakosea hata mtu mmoja.
ReplyDeleteDuh nilichemsha kweli anayempa mkono mgeni wa heshima ni King Kibadeni. kumradhi .
ReplyDeletemdau Dege Leicester UK
Mdau mwenzangu wa Sita umechemsha Zamoyoni Mogela hapo Bado sana sana wala Father Pazi bado sana kuna mdau amedai kwamba Tall alikuwa Cosmo la hasha Bakari Tall alikuwa tayari ameshajiunga Simba na ndio huyo kama nilivyomtaja hapo juu ni mimi mdau wa kwanza Mbegu i was right mimi nazi la Yanga Gongo Wazi bisahana mpaka ufe namuunga mkono Mdau Dege wa :Leicester amejaribu nae. Sasa michuzi naomba utupe picha za kina Rashid Ufunguo, Mwinda Ramadhani, Yanga Fadhil"Bwanga" mdau Dege hapo mliwapa Rushwa kina Ezekiel Greyson ili mtufunge 6 Mtungi.
ReplyDeletePIA TULETEE PICHA ZA TIMU ZA MIKOA MIAKA ILE YA 1960s,1970s,1980s, 1990s. kuna hii timu ya mkoa wa mtwara ya akina mzee MOHAMED CHUMA, SAMWEL TUPA, NA MCHEZAJI MMOJA ALIKUWA ANAITWA MSAFIRI, HUYU ALIKUWA ANATOKEA MAJI MAKONDEKO NEWALA, ALIKUWA ANA CHEZA KAMA STYLE ZA JOHN SEMKOKO, AU MOHAMED BAKARI TALL, TARATIBU KWA AKILI SANA, EBU MTAFUTE UTULETEE HABARI ZAKE NA ZA JELA MTAGWA PIA ANAENDELEAJE.
ReplyDeletewe zito kiaratu ndio yule yule ambae kuna picha moja ulitokea unamnanihii dole chogo/gobos wakati anapiga chemba?
ReplyDeletesio zitto unayemdhania, tall na masimenti walijiunga na simba 1976, hii picha ni nyamagana 1974. huyo mrefu ni mdau aitwae hassan sekulu, ambae alikuwa mshambuliaji, yaani mchezaji wa mbele,pia kulikuwepo beki aitwae athman juma namba nne huyu jamaa ukimpa free kick ilikuwa unahesabu kabla hajachapa, athmani juma ,aloo mwitu na hamisi askari wa;itoka kigoma.
ReplyDelete