kundi zima la ze nanihii likiwa na mh. balozi wa zain walipokwenda kumpongeza kwa shavu hilo pamoja na kumwambia awapashe wadau kwamba wakae chonjo kwani wanarudi kwa kishindo muda si mrefu ujao kupitia TBC1 na kwamba wanakuja na mambo mapyaaaaaaaaaaaaaa.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Macho yetu. Tunasubiri.
    Lakini sisi waswahili tunasemaga kuwa: Usiache Mbachao kwa Msaala upitao.

    ReplyDelete
  2. Ahlaaaaaaaa! Sheikh mpoki huyo wazee wa SE(ZeComedy) Se Comedia mpo na balozi wetu wa zain eh.

    ReplyDelete
  3. Wadau wa MAnchester United hii nzuri kwenu from Emirates. http://www.redstate.com/diaries/jeule/2008/sep/18/new-manchester-united-jersey/ michuzi kazi kwako.

    ReplyDelete
  4. jamani tumewa-miss ZeNanihii! Hatujacheka cku nyingi

    ReplyDelete
  5. jamani ze comedy warudi tu tumewamiss sana. nawafurahia sasa watapa haki zao zote kwani TBC1 ni serikali haiwezi kuwadhulumu kama walivyokuwa kule walipotoka ambapo kuna tabia ya kunyanyasa wafanyakazi na kuwanyima haki zao kama vile akina mama wanakwenda kujifungua badala ya kupewa miezi mitatu kama sheria inavyosema wao wanawapa siku 28 na nashangaa hawachukuliwi hatua zozote.michuzi maoni yangu usiyaweke kapuni

    ReplyDelete
  6. Naona umewapatia jina jipya ZE NANIHII linawafaa

    ReplyDelete
  7. annon 6.51pm,,,yan tumerandana aswaaa
    ZeNanihii jina linawafaa,,mana inavoonekana wana ubongo wa samaki kuvumbua exclusive name lao kazi kupelekana mahakamani kudai jina gani cjui

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...