Home
Unlabelled
ze nanihii wampongeza ambasadaa wa zain
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Macho yetu. Tunasubiri.
ReplyDeleteLakini sisi waswahili tunasemaga kuwa: Usiache Mbachao kwa Msaala upitao.
Ahlaaaaaaaa! Sheikh mpoki huyo wazee wa SE(ZeComedy) Se Comedia mpo na balozi wetu wa zain eh.
ReplyDeleteWadau wa MAnchester United hii nzuri kwenu from Emirates. http://www.redstate.com/diaries/jeule/2008/sep/18/new-manchester-united-jersey/ michuzi kazi kwako.
ReplyDeletejamani tumewa-miss ZeNanihii! Hatujacheka cku nyingi
ReplyDeletejamani ze comedy warudi tu tumewamiss sana. nawafurahia sasa watapa haki zao zote kwani TBC1 ni serikali haiwezi kuwadhulumu kama walivyokuwa kule walipotoka ambapo kuna tabia ya kunyanyasa wafanyakazi na kuwanyima haki zao kama vile akina mama wanakwenda kujifungua badala ya kupewa miezi mitatu kama sheria inavyosema wao wanawapa siku 28 na nashangaa hawachukuliwi hatua zozote.michuzi maoni yangu usiyaweke kapuni
ReplyDeleteNaona umewapatia jina jipya ZE NANIHII linawafaa
ReplyDeleteannon 6.51pm,,,yan tumerandana aswaaa
ReplyDeleteZeNanihii jina linawafaa,,mana inavoonekana wana ubongo wa samaki kuvumbua exclusive name lao kazi kupelekana mahakamani kudai jina gani cjui