
Alikiba anaeleka Baltimore,MD
jumamamosi ijayo 10/11/08
ambako ameahidi tena kudhirisha umahiri wake wa kupagaisha watu na vibao vyake "CINDERELLA", "MAC MUGA", "NAKSHI NAKSHI" na vingine vipya alivyovitoa jikoni hivi karibuni.
Waandaji machachari wa PAYUKA ENT. wamejitayarisha vilivyo kuandaa na kuhakikisha kuwa hii show itakuwa gumzo la mwaka.
Wanapenda kuwakaribisha kwa dhati wapenzi wote wa Baltimore na maeneo ya karibu kuja kuhudhuria show hii kabambe.
Tafadhali fika mapema, milango itafunguliwa saa tatu usiku mpaka chee.
Kwa maelezo Zaidi tafadhali cheki Flier hapo juu ama nenda
au
Aksanteni.
Tunakuja kukuona AK. nimetoka Kigoma nimekuja mamtoni,ukiniona hutanikumbuka.Mimi Leo niko Marekani.....
ReplyDelete