Watsanet, an NGO, is looking for marketing graduates with 5+ years of experience to bid with them on long term consultancy project. Interested graduates should send CVs in the attached format to
immediately.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwakweli sijaelewa hapa huyu jamaa anatakata nini mana anasema muombaji awe "graduate" then awe mwenye experience ya miaka 5!!!! sasa huyu atakua graduate kweli....
ReplyDeleteWewe Anon wa kwanza hapo juu si uwaulize wahusika. E-mail yao hiyo hapo washakupatia.
ReplyDeletewe mdau wa juu hapo... kwani graduate maana yake mtu aliyemaliza leo? Graduate ni mhitimu, awe wa leo au wa miaka 10 iliyopita. Alimradi tu ana shahada ya kwanza, basi ye ni graduate
ReplyDeleteInachanganya sana kwenye british english and american english...Graduate kwa wamarekani mara nyingi hutumika kusema kuwa uwe na master degree na undergraduate ndio bachelor degree. kwa hiyo ina maana hapo ni uwe na master degree na ujuzi wa miaka 5.
ReplyDeleteGraduate ni aliyemaliza leo. Akisha kuwa na uzoefu wa kazi kama mwaka na zaidi huitwa kwa profession mfano mwanasheria, mganga, mhandisi, n.k. Kabla huitwa mwansheria mhitimu na mfano wake.
ReplyDeleteKAMAPUNI GANI HII INATUMIA DOMAIN YA YAHOO.COM, FAKE NINI? GRADUATE NI MTU YOYOTE YULE MWENYE DEGREE HATA KAMA YA MIAKA MIA ILIYOPITA.
ReplyDelete