JK akimkabidhi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya executive solutions aggrey marealle hati ya shukrani kwa kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu katika sherehe iliyofanyika uwanja wa mkwakwani, tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. INAKUAJE......MBIO ZA MWENGE ZIMEBINAFSISHWA AU NI VIPI?

    ReplyDelete
  2. Kijana unakuja juu! kwenye siasa hongera inapendeza namna hiyo nakuombea Mungu target zako zifanikiwe tupo pamoja!

    ReplyDelete
  3. kwa nini hapa mkuu anatumia mkono wakushoto? why?

    ReplyDelete
  4. mbio za mwenge zimeuzwa..huu ni mradi usiokuwa na faida yeyote. Just scrap it, we are in 21st century for God sake, Watz tuache umbumbu. how much did it cost?

    ReplyDelete
  5. Mafisadi wa EPA

    ReplyDelete
  6. Kaka michuzi nimukuwa Buzii sana siku hizi basi sipati muda sana wakuingi hapo kijiweni yaani nimekumiss mnoooooo.basi mimi gulu langu liko njiani kuja Tanzania nikifika tu ahaa lazima nije kukuona mkuuu

    Mdau
    mwakalang'ira

    ReplyDelete
  7. Samahani, ni macho yangu yananielekeza vibaya au vipi!!!! Mheshimiwa Rais antoa hati kwa mkono wa shoto????

    ReplyDelete
  8. Da! huyo mjomba anapokea cheti utazani anapokea bomu. Au bado ana hang over ya kubeba mwenge. Alivyojikunja utazani anataka kumpiga kichwa mheshimiwa Rais!da wana usalama wana kazi mjomba kama huyo anaweza kujirusha akampa kichwa prezidaa

    ReplyDelete
  9. wewe michuzi umefanya njama mpaka,UTAMU KAPOTEA,njoo uchukuwe computer yangu,sababu sasa hivi haina kazi tena.

    ReplyDelete
  10. Marealle hilo koti la kaka yako au ni zawadi kutoka kwenye chama bila kukupima?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...