Home
Unlabelled
executive solutions yapongezwa kwa kufanikisha mbio za mwenge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
INAKUAJE......MBIO ZA MWENGE ZIMEBINAFSISHWA AU NI VIPI?
ReplyDeleteKijana unakuja juu! kwenye siasa hongera inapendeza namna hiyo nakuombea Mungu target zako zifanikiwe tupo pamoja!
ReplyDeletekwa nini hapa mkuu anatumia mkono wakushoto? why?
ReplyDeletembio za mwenge zimeuzwa..huu ni mradi usiokuwa na faida yeyote. Just scrap it, we are in 21st century for God sake, Watz tuache umbumbu. how much did it cost?
ReplyDeleteMafisadi wa EPA
ReplyDeleteKaka michuzi nimukuwa Buzii sana siku hizi basi sipati muda sana wakuingi hapo kijiweni yaani nimekumiss mnoooooo.basi mimi gulu langu liko njiani kuja Tanzania nikifika tu ahaa lazima nije kukuona mkuuu
ReplyDeleteMdau
mwakalang'ira
Samahani, ni macho yangu yananielekeza vibaya au vipi!!!! Mheshimiwa Rais antoa hati kwa mkono wa shoto????
ReplyDeleteDa! huyo mjomba anapokea cheti utazani anapokea bomu. Au bado ana hang over ya kubeba mwenge. Alivyojikunja utazani anataka kumpiga kichwa mheshimiwa Rais!da wana usalama wana kazi mjomba kama huyo anaweza kujirusha akampa kichwa prezidaa
ReplyDeletewewe michuzi umefanya njama mpaka,UTAMU KAPOTEA,njoo uchukuwe computer yangu,sababu sasa hivi haina kazi tena.
ReplyDeleteMarealle hilo koti la kaka yako au ni zawadi kutoka kwenye chama bila kukupima?
ReplyDelete