Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mh. Sophia Simba (katikati) na Mkurugenzi wa Mfuko wa Saratani ya Matiti, Angela Kuzilwa (shoto) wakicheza ngoma na mnenguaji wa kikundi cha Ten Best cha Amana, wakati wa maandamano kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya waliothirika na saratani ya matiti Tanzania, Dar es Salaam jana.
Kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania ilikuwa miongoni mwa wadhamini wakuu wa maandamano hayo yaliyoanzia Mnazi Mmoja hadi hospitali ya Ocean Road.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hivyo hizo michango zinatumikaje kusaidia hizo saratani?

    kwa sababu canser za matiti zinatibika haswa zikiwa ktk low stage.

    je kuna mpango wowote wa kuchunguzwa kına mama kwa ajili ya early dıagnosıs au inalenga tu ktk matibabu?

    naomba ufafanuzi kwa anayejua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...