Kutakuwa na sherehe ya Watanzania itakayofanyika Örebro, Sweden. Watanzania waishio sehemu za Stockholm,Göteborg ,Malmo nk mnakaribishwa kuhudhuria.

Katika sherehe hiyo iliyoandaliwa na wenyeji wetu kwa kushirikiana nami itakuwa na mziki wa Kitanzania utakaosindikizwa na miziki mingine, pia Kutakuwa na picha za projector zinazoonyesha mazingira ya nyumbani wakati mziki ukiendelea.

Mdau K. Mmbando

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...